omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,326
- 2,506
mititi katika bandiko lao umeongea kitu cha msingi japo tunachosahau sana ni kuwa maisha kwa sehemu kubwa inahusiana na maamuzi. Muundo mzuri wa muungano unarahisisha wananchi kufanya maamuzi tofauti na ilivyo sasa ambapo kimaamuzi tunaemda hatua mbili mbele na tunarudi tatu nyuma na sio ajabu nchi ina kila kitu lakini haiendelei.