Habari wadada na wakaka. Nauza kinanda Cha studio ni kama kipya kinatumika kutengenezea muziki yaani MIDI Controller. Kinatumia sauti za program ya computer mfano cubase nk kupata sautii za aina mbalombali
Bei ya punguzi sh 480,000. Kikiwa dukani vinauzwa sh 800,000 kwa hiyo nimefanya bei nzuri sana. Hakina tatizo lolote
0769308197
Bei ya punguzi sh 480,000. Kikiwa dukani vinauzwa sh 800,000 kwa hiyo nimefanya bei nzuri sana. Hakina tatizo lolote
0769308197