Habari zenu. Kinanda aina ya Yamaha PSR F52 kinauzwa sh 280,000 ambacho kimetumika miezi 2=tu ni kama Bado kipya. Alikuwa anatumia mume wangu kujifunzia kupiga kinanda. Sasa hivi amenunua chenye keys 88. Hiki Naçhouza ni 61 keys. Kina sauti za vyombo mbalimbali vya muziki mfano piano, gui5ar, organ nk zaidi ya 100. Kinafaa kwa kanisani au kujifunzia kupiga kinanda.
Ni PM namba Yako tuyajenge. Mimi ni make wa mtu siwezi weka namba yangu wazi. Natumaini mtanielewa
Asante
Ni PM namba Yako tuyajenge. Mimi ni make wa mtu siwezi weka namba yangu wazi. Natumaini mtanielewa
Asante