Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo sasa na ile kesi ya Yule mchungaji aliyeitwa mchochezi itafutwa rasmi kwa kuwa kumbe habari ni sahihi!
Labda muombee aombwe radhi na aitwe sasa raia mwema aliyekuwa anaipa taarifa sahihi jaamii!
Lizaboni na chama chako nendeni mkatoe ushahidi kumsaidia yule mchungaji wetu!
 
Hiyo siku ya kikao watatafunana wenyewe kwa wenyewe sie yetu macho halafu polisi watueleze kama intelejensia yao fake haikuiona hii dalili ya fujo au ipo kwa ajili ya wapinzani
Nasikia hao ma Polssisiemu Majuzi wacha waandamane Dom
 
Anayetaka kuzuia jitihada Mhe. Magufuli anajisumbua akalime shamba kama kachemsha kucope spidi tunayoitaka.

Wawaulize UKAWA wanavyotuliza kitenesi, hawana issue. Ufisadi eti siyo hoja tena. Imekula kwao
 
Huu mtu aliyetoa wazo la rais wa nchi kutokuwa mwenyekiti wa chama(ccm) anaakili kuliko asilimia kubwa ya wanaccm,ni mtu anayeweza kufikiria na kuona mbali,ni mtanzania harisi,ni mtu anayetanguliza masilahi ya nchi yake kuliko ccm,ila akili ndogo kama za akina lizaboni kumuelewa itakuwa ngumu sana
 
Hiyo ndiyo tabia ya manyang'au mzoga unapoisha, wanaanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe na ole wako mdomo uwe na harufu ya damu...!
 
Sahihi kabisa Mkuu. Hapa tunamrahisishia Rais ili akikabidhiwa chama asiishi na mafisi
Kiukweli hata mimi najua na ushahidi ninao jinsi luhavi alivyoiba pesa cha kampeni kwenye uchaguzi mkuu wa 2015,magu asipomtumbua hatukubali.
 
Mkuu akili yako kama ya Lowasa tu kuwaahidi wapiga kura wake kuwa wapige kula yeye ndiyo mwenyejukumu la kulinda kula kumbe hana anachojua.
 
Lini tarehe ya kuchukua na kurejesha fomu za kugombea Uenyekiti wa CCM taifa ?Makada wanahoji

Hao makada wanahoji ni akina nani??? Wakati wa MWINYI akimkabidhi MKAPA na MKAPA akimkabidhi KIKWETE utaratibu ulikuwaje??? By the way hivi uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA ni lini????
 
Hakina anayechafuliww hapa ila madudu ya Luhwavi yamewekwa hadharani. Kama alikuwa anadhani hatumjui basi na amejulikana
 
Bravo Lizaboni

Kweli umefanya uchunguzi. Mwezi ulioisha mfanyakazi mmoja toka Njombe alinipigia simu na kusema , kuna watu wanapita kushawishi wajumbe wasimpigie kura Magufuli na walimtaja injinia ni Luhwavi
 
Hao makada wanahoji ni akina nani??? Wakati wa MWINYI akimkabidhi MKAPA na MKAPA akimkabidhi KIKWETE utaratibu ulikuwaje??? By the way hivi uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA ni lini????
Umewailiza maswali ya msingi sana. Magufuli ana maadui wengi sana na ndio hawa wanafanya kila jitihada asiwe Mwenyekiti wa CCM. Wamepotea
 
Humjui wew
huo ujasiri wa kumtaja huyo NKM moja kwa moja kwa jina sio bure,kuna watu wa nguvu ya kisiasa wako nyuma ya haya maelezo yake. tusubiri kama kutakuwa na majibu kutoka kwa huyo naibu katibu. si ajabu yasiwepo.
 
Bravo Lizaboni

Kweli umefanya uchunguzi. Mwezi ulioisha mfanyakazi mmoja toka Njombe alinipigia simu na kusema , kuna watu wanapita kushawishi wajumbe wasimpigie kura Magufuli na walimtaja injinia ni Luhwavi
Sijakurupuka Mkuu. Upo sahihi kabisa. Uchunguzi huu nimeufanya muda mrefu na ninachoshukuru ni kwamba waliofanikisha kuumbuka mkakati huu ni miongoni mwa wanaoinjinia.
 
Kwani Magufuli amegombea Uenyekiti wa CCM Taifa? Washindani wakwe ni kina nani?
 
huo ujasiri wa kumtaja huyo NKM moja kwa moja kwa jina sio bure,kuna watu wa nguvu ya kisiasa wako nyuma ya haya maelezo yake. tusubiri kama kutakuwa na majibu kutoka kwa huyo naibu katibu. si ajabu yasiwepo.
Mkuu, kwa hiyo ulitaka nisimtaje jina? Siwezi kufanya hivyo hata kidogo. Ninapoamua kueleza jambo sina cha kuhofia hata kama mods wataondoa uzi ama kunipiga ban. Ninakuwa nimejiandaa kisaikolojia
 
Kwani Magufuli amegombea Uenyekiti wa CCM Taifa? Washindani wakwe ni kina nani?
Kwani Lowasa alipogombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA washindani wake walikuwa akina nani?
 
Tatizo la watu wa cccm akili zao zinafanyaka pole pooleee....wangemuelewa Gwajima siku zile wasingepoteza gharama yakutuma Askari kuzingira Nyumba yake... Mnakuja kuzinduka na kupeana Pongezi Gwajima anawaangalia mnavyorukaruka kwa watu wanaoelewa mambo Taratibu namna hii ndio maana Zaidi ya 50yrs ya Uhuru bado tunajadili Madawati
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…