Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Gwajima ana yake na sisi tuna yetu. By the way hakuna aliyemtuma amtukane Askofu Pengo
Unaona sasa unavyohisha MAGOLI...kwahiyo SIRO alikuwa anamtafuta kwa sababu yakumtukana PENGO...kwahiyo wee huna Habari Kesi ya Gwajima na PENGO bado inaendelea KISUTU daaah....Nchi tunatawaliwa na watu wa ajabu kweli kweli kama Jambo dogo namna hii huna kumbukumbu nalo mengine itakuwaje ukichukulia ww ni Mpiga debe usie na maslah yakujaza mfuko ila kuona Bendera ya Kijani ikipepea tu...
 
Hongera kwa kupigania chama chako ushauri wewe na vijana wenzako muache makundi kuchafuana na unafiki Na kutukana msiowakubali
Bahati nzuri ni kwamba sina kundi lolote ninaloshabikia
 
Nauona muendelezo wa kuwachafua waumini wa upande ulee... haya sasa acha tuendelee kuisoma number
 
Hao makada wanahoji ni akina nani??? Wakati wa MWINYI akimkabidhi MKAPA na MKAPA akimkabidhi KIKWETE utaratibu ulikuwaje??? By the way hivi uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA ni lini????
Mkuu tunahitaji kujua fomu za kugombea uenyekiti zinaanza kutolewa lini na zinauzwa bei gani? Na lumumba zinapatikana chumba no ngapi?
 
mjibu kwanza maswali yake kama alivyokuuliza ndipo nawe umuulize.mbona kila jambo mnalielekeza chadema?hadi mnatia kichefuchefu.

Swali gani aliuliza huyo Ndugu???!!!! By the way hujui kuwa SWALI hujibiwa kwa SWALI???? Nikupe mfano mmoja: Miaka ya nyuma mjini Nairobi, Kenya Mwandishi wa habari mmoja mnoko alimuuliza Mwalimu Nyerere swali kwamba zipo tetesi kuwa mwalimu Nyerere anataka kumuondoa madarakaini Rais Mwinyi, je kuna ukweli wowote wa tetesi hizo? Mwalimu Nyerere akamwangalia mwandishi wa habari yule na akamjibu ifuatavyo: Wewe ukiambiwa kuwa .... ni mume wa mama yako, utakubali?....Kwa jibu hilo mwandishi wa habari yule akabaki anazungusha macho tu....
 
Mashtaka yanayomkabili Gwajima ni ya kumtukana Pengo. Hakuhudhuria mara kadhaa kesi yake ilipotajwa ndipo mahakama ikatoa kibali kwa Polisi kumkamata na kumfikisha mahakamani. Kutafutwa kwake na polisi hakuna uhusiano na alichokisema kuhusu CCM
 
Mkuu tunahitaji kujua fomu za kugombea uenyekiti zinaanza kutolewa lini na zinauzwa bei gani? Na lumumba zinapatikana chumba no ngapi?
Kwani Lowasa alipogombea Urais kupitia CHADEMA kulikuwa na ushindani wowote chamani?
 
Hakina anayechafuliww hapa ila madudu ya Luhwavi yamewekwa hadharani. Kama alikuwa anadhani hatumjui basi na amejulikana
Ndugu yangu lizaboni nakuonea huruma maana uchaguzi utaisha salama na watakugeukia wewe na utakosa kibarua, elimu yenyewe ndiyo hivyo tena
 
Mashtaka yanayomkabili Gwajima ni ya kumtukana Pengo. Hakuhudhuria mara kadhaa kesi yake ilipotajwa ndipo mahakama ikatoa kibali kwa Polisi kumkamata na kumfikisha mahakamani. Kutafutwa kwake na polisi hakuna uhusiano na alichokisema kuhusu CCM
Kwahiyo unakili kuwa maneno aliyoyasema gwajima ni sahihi?
 
Mkuu tunahitaji kujua fomu za kugombea uenyekiti zinaanza kutolewa lini na zinauzwa bei gani? Na lumumba zinapatikana chumba no ngapi?

Haaaaah, aise...JPM kumbe anawakwaza wengi sana....tehtehtehteh...Mmawia naye anaulizia fomu???? Tukutane Dodoma nitakujuza huko...mimi nitakuwa ukumbini....
 
Nilishatabiri mapema sana, huyu mkuu wetu wa kaya anakwenda kutawala kwa kipindi kimoja tu. Haaminiki ndani na nje ya CCM. Magamba wamegawanyika makundi. Atapata wakati mgumu sana kwenye uongozi wake kwani Luhwavi hayuko peke yake, usione ajabu hata JK mwenyewe yuko upande wa Luhwavi.
 
alaaniwe huyu anayetaka champion wetu asiwe mwenyekiti wa chama. inafaa ajitumbue mwenyewe kabla jpm hajapewa mkasi kutumbua majipu ndani ya ccm. jpm ndio atakirudisha chama mikononi mwa wavuja jasho. mabepari uchwara walie tu.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu. Luhwavi ajitumbue mwenyewe
 
Hizo ni Ndoto. Eti JPM atawale kwa mwaka mmoja tu? By the way mambo atakayofanya Magufuli kwa miaka 5 yatazidi waliyofanya watangulizi wake kwa miaka 50
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…