Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Basi kama ni hivyo Gwajima alikuwa sahihi,waliombeza wote humu walikosea,
 

Liz tunashukuru kwa taarifa juu ya mchawi wa chama chenu! Naona mchawi katumia fungu kubwa la fedha kuhakikisha anawashawishi wachawi wengine wakwamishe mchakato huo. Ila nitashangaa sana kama rais ataamua kuchukua uenyekiti wa chama kwasababu alisema kwenye serikali yake haitahodhi vyeo zaidi ya kimoja kwa mfanyakazi wa umma. Ye abaki kuwa rais wetu afu uenyekiti awaachie wengine!
 
Umetumwa na Luhwavi?
 
Umetumwa na Luhwavi?

Kesho Notice board ya pale Lumumba mtakuta tangazo;
FIRED wef 14/7/2016
Mr So and so aka Lizaboni is hereby declared fired from his post as Chief Vuvuzela. Mr Lizaboni has been used by
Bulembo to create unrest and conflict between Party leaders and oncoming expected Chairman.
Arudishe mara moja vifaa vya kazi, Tablet & Smartphone kabla green guard hawajamshukia.
Its me, Luhwavi
Katibu mdogo wa Taifa
Hapa Lumumba.
 
Uenyekiti aupate au asiupate sisi watanzania hautuhusu. Tunachotaka ni maendeleo. Msije mkaanza kushangaa kwenye kampeni za 2020 kuwa hakupewa uenyekiti ndio maana mambo yalifeli. HAPA KAZI TU. Siasa 2020
 
Hoja za Luhwavi kutaka Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni za kitoto sana. kwamba, Magufuli hakijui chama na hivyo yeye pamoja na genge lake wanaamini kuwa atakiharibu badala ya kukiimarisha. Hofu yao imeongezeka hasa kutokana na (kwa mtazamo wao) teuzi alizofanya Rais mpaka sasa kutozingatia kigezo cha Ukada wa CCM.

..Nimesoma hii AYA kwa makini. Swali kwa mleta mada:
1. Kwani URONGO katika hili UKO WAPI?
2. Teuzi alofanya hazizingatii Ukada wa CCM? Kweli? Hembu angalia orodha ya MaDC, Wakurugezni wa Miji nk pamoya na MaDED. Mbona imejaa "Makapi" ya Walioshindwa Ubunge kwa nafasi za CCM. Siyo Makada hawa? Ni Makanda? Makandokando? Ama Makonda?
 
Hizo ni Ndoto. Eti JPM atawale kwa mwaka mmoja tu? By the way mambo atakayofanya Magufuli kwa miaka 5 yatazidi waliyofanya watangulizi wake kwa miaka 50
Ndiyo! Lakini Kwenye Madawati na Wala Si Jengine! Coz Anaongeza Upana Wa Goli ili Watu Wafunge Kirahisi.
 
Ndiyo! Lakini Kwenye Madawati na Wala Si Jengine! Coz Anaongeza Upana Wa Goli ili Watu Wafunge Kirahisi.
Nasikia UKAWA waligoma kuchangia hata mia kwenye madawati lkn Leo Walimtuma Msigwa kwenda kupokea madawati!!!!!
 
Nalakuvunda halina ubani kabisa lishavunda hilo lazima wamtumbue mzee mwizi sana huyu.
Nimekwisha mwambia kila Mara huyu Mzee kwamba fedha fedhea.

Sasa asali Sara ya mwisho MAGUFULI daima hua alembi ukiingia kwenye kumi nane zake.
 
Kwa habari hii tunaomba policcm imfutie mashtaka mara moja Askofu Gwajima
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…