Mimi. JF-Expert Member Joined Sep 7, 2011 Posts 2,120 Reaction score 3,059 Jul 15, 2016 #561 KAWETELE said: duuuh huyu Lizabon ni nani? huwa ana data nyeti saana.. ni Nape, ni Shigella, ni J.Makamba? ni mwigulu, ni au ni LUSINDE ? kubwa ya yote ni ile aliyotaja siku halis ya dr. slaa kukinukisha. Click to expand... Kama ni ridhiwani flani maandishi
KAWETELE said: duuuh huyu Lizabon ni nani? huwa ana data nyeti saana.. ni Nape, ni Shigella, ni J.Makamba? ni mwigulu, ni au ni LUSINDE ? kubwa ya yote ni ile aliyotaja siku halis ya dr. slaa kukinukisha. Click to expand... Kama ni ridhiwani flani maandishi
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Jul 16, 2016 #562 Mchana wako jukwaani usiku wako upande wa pili...!
Lizaboni JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 33,895 Reaction score 20,392 Jul 16, 2016 Thread starter #563 Njaro said: Pesa za kampeni alizozipiga, ngoja JPM awe Mwenyekiti atazichojoa tu Click to expand... Lazima. JPM hataki masihara hata kidogo
Njaro said: Pesa za kampeni alizozipiga, ngoja JPM awe Mwenyekiti atazichojoa tu Click to expand... Lazima. JPM hataki masihara hata kidogo
Lizaboni JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 33,895 Reaction score 20,392 Jul 16, 2016 Thread starter #564 jingalao said: Mchana wako jukwaani usiku wako upande wa pili...! Click to expand... Teetehetehetehe.
jingalao said: Mchana wako jukwaani usiku wako upande wa pili...! Click to expand... Teetehetehetehe.
Lizaboni JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 33,895 Reaction score 20,392 Jul 16, 2016 Thread starter #565 Mimi. said: Kama ni ridhiwani flani maandishi Click to expand... Hahahahahaaaaaa!
Lizaboni JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 33,895 Reaction score 20,392 Jul 16, 2016 Thread starter #566 patriotic crusader said: Mimi ninapoikumbuka kauli ya Luhwavi wakati wa kampeni kuwa siyo lazima Rais awe Mwenyekiti wa chama na kusema kuwa mkutano mkuu wa Chama ndiyo utaamua, huwa nina mashaka na hii kauli yake. Click to expand... Na ndio maana ameumbuliwa sasa
patriotic crusader said: Mimi ninapoikumbuka kauli ya Luhwavi wakati wa kampeni kuwa siyo lazima Rais awe Mwenyekiti wa chama na kusema kuwa mkutano mkuu wa Chama ndiyo utaamua, huwa nina mashaka na hii kauli yake. Click to expand... Na ndio maana ameumbuliwa sasa