Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

Yani upate dodoma sq1200 kwa 6M na kuwe na umeme,Dodoma ninayoijua mie
Ukipata niambie nami nilipie kesho kesho
 
Yani upate dodoma sq1200 kwa 6M na kuwe na umeme,Dodoma ninayoijua mie
Ukipata niambie nami nilipie kesho kesho
Hahaha kuna moja ilionekana ingawa kuna umeme pekee 30 kwa 30 ilikuwa 6m hiyo. Nafikiri alishauza yule mtu. Unaweza kupata
 
Kipo namba One ( Njia panda ya Bihawana na Iringa) Kama Yuko serious aje inbox. Ila eneo bado halijapimwa Kuna hati za kwa mtendaji tu. Umeme upo na maji yapo.
Nashukuru sana kwa ushirikiano. Tayari dogo amepata
 
Back
Top Bottom