Na hizo diapers give the baby a break. Saa zingine jioni unamvalisha nappy bila chupi apumuwe. Saa ya kulala ndo unamvalisha tena diaper. Make it a point jioni ukitoka job asivae diaper, akukojolee baraka zote hadi saa ya kulala
sio mbayaoh God. Nilikuwa namfuta na wipes nakiona vijasho. Je ikitumia coconut oil. Is it alright?
Thanks.
no mkuu. He's not usually exhausted. Anakuwaga active unless he's sleepy.
nimeipenda hii.Coconut oil is the best, tena local made. Unakuna nazi kibaoo, chuja na maji ya moto tui moja tu. Weka jikoni yachemke hadi maji yaishe yabaki mafuta. Hapo hakuna cha fungus wala nini, weka kwenye chupa ya kioo na ufunge. Akioga mpake mafuta, old skin peels off atakuwa msweet. Taratibu usimng'ate manake atakuwa ananukia visheti lol
Kama mtoto nakuwa anasweat sana,easly fatigue hasa anapokuwa ananyonya na sleeping disturbance we usually suspect heart problem.Ila kwa case hii,it's likely mwanao ni mzima labbda tu inawezekana uko mazingira ya joto na unakuwa umemfunika nguo nzito hasa wakati anapokuwa ananyonya.Assume wewe umevaa jacket nzito halafu unakula sehemu yenye joto,what happens?!
May be jaribu kumfunika nguo nyepesi halafu umnyonyeshe uone kama kutatokea any changes.