Kindly advice me

Kindly advice me

Na hizo diapers give the baby a break. Saa zingine jioni unamvalisha nappy bila chupi apumuwe. Saa ya kulala ndo unamvalisha tena diaper. Make it a point jioni ukitoka job asivae diaper, akukojolee baraka zote hadi saa ya kulala

no, am not working. And I don't plan to work mpaka nimalize Exclusive Breastfeeding akifika 6 months. I think the only thing I do right ni kumuacha wazi the whole day. I line the couch with a mackintosh and a nappy, ama khanga halafu anapumua. Plus a light nappy liner kwa juu. Akijiwet nabadilisha. Wakati wa kulala ndio namvisha disposable diapers. Thanks. I truly appreciate.
 
no mkuu. He's not usually exhausted. Anakuwaga active unless he's sleepy.

Kama mtoto nakuwa anasweat sana,easly fatigue hasa anapokuwa ananyonya na sleeping disturbance we usually suspect heart problem.Ila kwa case hii,it's likely mwanao ni mzima labbda tu inawezekana uko mazingira ya joto na unakuwa umemfunika nguo nzito hasa wakati anapokuwa ananyonya.Assume wewe umevaa jacket nzito halafu unakula sehemu yenye joto,what happens?!

May be jaribu kumfunika nguo nyepesi halafu umnyonyeshe uone kama kutatokea any changes.
 
Coconut oil is the best, tena local made. Unakuna nazi kibaoo, chuja na maji ya moto tui moja tu. Weka jikoni yachemke hadi maji yaishe yabaki mafuta. Hapo hakuna cha fungus wala nini, weka kwenye chupa ya kioo na ufunge. Akioga mpake mafuta, old skin peels off atakuwa msweet. Taratibu usimng'ate manake atakuwa ananukia visheti lol
nimeipenda hii.
 
Kama mtoto nakuwa anasweat sana,easly fatigue hasa anapokuwa ananyonya na sleeping disturbance we usually suspect heart problem.Ila kwa case hii,it's likely mwanao ni mzima labbda tu inawezekana uko mazingira ya joto na unakuwa umemfunika nguo nzito hasa wakati anapokuwa ananyonya.Assume wewe umevaa jacket nzito halafu unakula sehemu yenye joto,what happens?!

May be jaribu kumfunika nguo nyepesi halafu umnyonyeshe uone kama kutatokea any changes.

i will thanks, then I will get back to you.
 
Back
Top Bottom