Kindly advice me

Kindly advice me

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,155
Reaction score
34,303
Wakuu good evening.
Natumai mpo swalamaaaaaa na utanipa ushauri.
My Lil' Man is almost 4 months. He was a big baby at birth na namshukuru Mungu tunaendelea vizuri. Sasa basi he sweats alot. Yaani when feeding he is soaked in sweat. Is this normal?
2. Skin folds zake ni nyekundu despite mie kujitahidi kumuweka akiwa mkavu. Yaani humu shingoni ndio kabisaaaaaa. Goodness.
3. What is penumonia? What causes it? Manake I have heard alot mpaka sometimes I lack sleep.
 
Hakuna daktari anayetibu bila kumwona mgonjwa. Kama vipi mpeleke India faster.
Wakuu good evening.
Natumai mpo swalamaaaaaa na utanipa ushauri.
My Lil' Man is almost 4 months. He was a big baby at birth na namshukuru Mungu tunaendelea vizuri. Sasa basi he sweats alot. Yaani when feeding he is soaked in sweat. Is this normal?
2. Skin folds zake ni nyekundu despite mie kujitahidi kumuweka akiwa mkavu. Yaani humu shingoni ndio kabisaaaaaa. Goodness.
3. What is penumonia? What causes it? Manake I have heard alot mpaka sometimes I lack sleep.
 
wakuu good evening.
Natumai mpo swalamaaaaaa na utanipa ushauri.
My lil' man is almost 4 months. He was a big baby at birth na namshukuru mungu tunaendelea vizuri. Sasa basi he sweats alot. Yaani when feeding he is soaked in sweat. Is this normal?
2. Skin folds zake ni nyekundu despite mie kujitahidi kumuweka akiwa mkavu. Yaani humu shingoni ndio kabisaaaaaa. Goodness.
3. What is penumonia? What causes it? Manake i have heard alot mpaka sometimes i lack sleep.

kindly go to hospital, period!
 
pole sana kwa hilo nitazungmzia pnemounia .namna ya kuepukana nayo ni kuepuka mazingira ya barid.mtoto asiwe exposed na barid kwa namna yoyote.pia nenda kwa wataalamu wa magonjwa ya watoto
 
If you aren't d.u.m.b you would bring your baby to hospital and not bring the problem to anonymous JF.

If you can't be a parent enough there foster homes, they would have known best what to do with that baby.

another time, another place I would retaliate.
 
pole sana kwa hilo nitazungmzia pnemounia .namna ya kuepukana nayo ni kuepuka mazingira ya barid.mtoto asiwe exposed na barid kwa namna yoyote.pia nenda kwa wataalamu wa magonjwa ya watoto

oh yeah? Nimeambiwa hata jasho kwenye nguo zake si nzuri so najitahidi pale anaposweat nambadili nguo. Thanks I truly appreciate.
 
Inasababishwa pia na unyevu. Usimrundike mtoto manguo kama mueskimo unless kuna baridi.
pole sana kwa hilo nitazungmzia pnemounia .namna ya kuepukana nayo ni kuepuka mazingira ya barid.mtoto asiwe exposed na barid kwa namna yoyote.pia nenda kwa wataalamu wa magonjwa ya watoto
 
Inasababishwa pia na unyevu. Usimrundike mtoto manguo kama mueskimo unless kuna baridi.

thank God you appeared. I was going to tag you to help a sister out. Thanks. Wiki za kwanza I used to do that kwa uoga nimeambiwa newborn hasikii joto. Socks, kofia, baby shawl (woolen). We acha tu. But I slow outgrew it. And we are fine.
 
Issue za watoto ni very delicate aisee, jitahidi tu ukamuone daktari wa watoto mapema.

oh yeah. Thanks. Kinachonisumbua ni huo wekundu kwenye mikunjo ya ngozi shingoni
 
hongera kuwa na mtoto.usishtuke mamii,wekundu kwenye mikunjo ya ngozi hutokea kwa watoto wengi tu.mtoto anavyokuwa na afya huwa na mikunjo kama sehemu za shingoni na kwenye mapaja.kuna cream moja inaitwa sudo cream inasaidia.usimfute na wipes kwenye huo wekundu.ukimpaka mafuta jaribu kutumia olive oil,hayana chemical.maana ngozi ya mtoto huwa sensitive sana.ila pia ni vizuri kumpeleka hospitali ili upate ushauri zaidi.
 
Wakuu good evening.
Natumai mpo swalamaaaaaa na utanipa ushauri.
My Lil' Man is almost 4 months. He was a big baby at birth na namshukuru Mungu tunaendelea vizuri. Sasa basi he sweats alot. Yaani when feeding he is soaked in sweat. Is this normal?
2. Skin folds zake ni nyekundu despite mie kujitahidi kumuweka akiwa mkavu. Yaani humu shingoni ndio kabisaaaaaa. Goodness.
3. What is penumonia? What causes it? Manake I have heard alot mpaka sometimes I lack sleep.

Vipi wakati anapokuwa anaendelea kunyonya anaonekana kuchoka?Kwa maana kwamba anaonekana kama yuko exhausted?
 
hongera kuwa na mtoto.usishtuke mamii,wekundu kwenye mikunjo ya ngozi hutokea kwa watoto wengi tu.mtoto anavyokuwa na afya huwa na mikunjo kama sehemu za shingoni na kwenye mapaja.kuna cream moja inaitwa sudo cream inasaidia.usimfute na wipes kwenye huo wekundu.ukimpaka mafuta jaribu kutumia olive oil,hayana chemical.maana ngozi ya mtoto huwa sensitive sana.ila pia ni vizuri kumpeleka hospitali ili upate ushauri zaidi.

oh God. Nilikuwa namfuta na wipes nakiona vijasho. Je ikitumia coconut oil. Is it alright?
Thanks.
 
Vipi wakati anapokuwa anaendelea kunyonya anaonekana kuchoka?Kwa maana kwamba anaonekana kama yuko exhausted?

no mkuu. He's not usually exhausted. Anakuwaga active unless he's sleepy.
 
Hahaha, mbona wataalamu wapo?
Imagine temp ya dsm 35 C, na kichanga kimevalishwa minguo na diaper, gloves na soksi na kofia. Afu kinapigwa baby show. Na nyumba haina ac! Unaangalia unachoka tu mwenyewe. Mtoto anakaa wet kutwa nzima!
thank God you appeared. I was going to tag you to help a sister out. Thanks. Wiki za kwanza I used to do that kwa uoga nimeambiwa newborn hasikii joto. Socks, kofia, baby shawl (woolen). We acha tu. But I slow outgrew it. And we are fine.
 
Coconut oil is the best, tena local made. Unakuna nazi kibaoo, chuja na maji ya moto tui moja tu. Weka jikoni yachemke hadi maji yaishe yabaki mafuta. Hapo hakuna cha fungus wala nini, weka kwenye chupa ya kioo na ufunge. Akioga mpake mafuta, old skin peels off atakuwa msweet. Taratibu usimng'ate manake atakuwa ananukia visheti lol
oh God. Nilikuwa namfuta na wipes nakiona vijasho. Je ikitumia coconut oil. Is it alright?
Thanks.
 
Na hizo diapers give the baby a break. Saa zingine jioni unamvalisha nappy bila chupi apumuwe. Saa ya kulala ndo unamvalisha tena diaper. Make it a point jioni ukitoka job asivae diaper, akukojolee baraka zote hadi saa ya kulala
 
Coconut oil is the best, tena local made. Unakuna nazi kibaoo, chuja na maji ya moto tui moja tu. Weka jikoni yachemke hadi maji yaishe yabaki mafuta. Hapo hakuna cha fungus wala nini, weka kwenye chupa ya kioo na ufunge. Akioga mpake mafuta, old skin peels off atakuwa msweet. Taratibu usimng'ate manake atakuwa ananukia visheti lol

hahahaaa. Ka sweetheart kangu katanogaje?
 
Back
Top Bottom