Bagosha nise twimane a bhanu abali umu. Nasoma mashandikwa ga majogoli naduma ukumana gete. Ndiganika pye muli mhola. Welelo abize ning'we.
Gashi nang'ho uli ng'wana o shimba! Ndiganika n'u Highlander nang'hwe ng'wana o shimba im'ho
Highlander;aha ha ha ha...leo nimekamatwa red handed aise! Kisukuma peke yake nachojua ni kile nilijifunza Magu, kanisani, mwaka 1985. kwa hiyo hapo nimeambulia maneno matatu tu: "uli ng'wana o shimba!". Mimi ni mnyiha wa Mbozi, asilimia 100%, mwenye asili ya sehemu inaitwa Kuvwaava! Neno jingine la Kisukuma nalijua ni "Seba." Wabeeja ngosha!
Umenickekesha sana. halafu wewe siyo msukuma ila unajua kisukuma.Ekale e kodi(kodi ya kichwa) yaleyogohilwe gete!...huna lolo masaki ga kodi kagashika halekaya lemo aho gatola e hodi, ....nani alemo mukaya omu?....enying'wana yale eleng'wizungu yoyomba...nalemo nene nachile!.... aming'wana goboja hange, ochile oyomba??? ...enying'wana kono elitundagela yoshosha....yooo, nacha lolo!!
Galeho mang'ing'wana henaha nolo koyomba mamihayo ga mwaniisale wakwo gatatogwile gete.
Gokweta buchilochilo gete.
Mtizoyomba natebamanya.
Highlander;
Kisukuma ni simple sana, angalia tafsiri yake hii hapa!
Ndiganika n'u Highlander nang'hwe ng'wana o shimba im'ho
Ndiganika=nafikiri
n'u Highlander =hata Highlander
nang'hwe = naye
ng'wana o shimba = mtoto wa simba
im'ho =nadhani
Nadhani hata Highlander naye ni mtoto wa Simba. In as much the same way as strong black american people huwa wanapenda kusabahiana kwa salaam ya what'sup meeeen, likewise strong original sukuma people wanaamini kuwa they are as strong as a lion, na hivyo sabahi yao ya kuashiria hilo huwa ni kuitana kwa sabahi ya ng'wana o shimba, yaani mtoto wa simba! Na ukiitwa hivyo na wewe unaitikia hivyo hivyo. That's it
Wooooow! You made my day. ng'wana o shimba! I wish my mother would hear this. She'd be so happy.... Our mothers build us to be as strong as the lion Makanyaga
, ng'wana o shimba. Have a great day!
mang'ing'wana= ming'wana (mijamaa)?
natebamanya.= naliteba banhya (navizia waishana)?
Kiranga ulimaanisha hayo maneno? Otherwise hicho Kisukuma sijawahi kukisikia
Uteko komanya echene eche, kongono ehenaya mamihayo ga basumba batale. No obebe ole kanegene kadololo.
Olo ogoko wakwo aleho, yomba nanghwe ombojage kole mamihayo gene aga.
maming'wana = mijamaa
natebamanya = siwafahamu (komanya = kufahamu, nate/nato = negation equal to "si" in Swahili)
Banamhala banghe bakoyomba chiza.
Sukuma ni collective term, ndani yake utakuta banantuzu (hawa wanapatikana sehemu za Bariadi, baadhi ya sehemu za wilaya ya Magu ambayo kwa sasa inaitwa Busega, baadhi ya sehemu za wilaya ya Bunda na Serengeti), banang'weli(hawa wanapatikana sehemu za wilaya ya Magu, Mwanza, Kwimba, Misungwi, Sengerema, Biharamulo na Geita), badakama(hawa wanapatikana sehemu za Shinyanga, Kahama, Ushirombo, Bukombe, Nzega, Igunga na Urambo) banang'ung'u(hawa wanapatikana sehemu za Meatu, banang'wagala(hawa wanapatikana sehemu za wilaya ya Maswa) lakini wote hao kwa kiasi kikubwa wanasikilizana ingawa kuna tofauti kwa baadhi ya maneno na kama maneno yanafanana kuna basi matamushi yanatofauti kidogo. Mfano banantuzu watasema biya kwa maana ya kukataa lakini banang'weli watasema yaya, banantuzu watasema busisi kwa maana ya ukwaju lakini banang'weli watasema bushishi.Then this is pure nyantuzu, not sukuma. Komanya= separate especially ndama from ng'ombe wakubwa, kumana=kujua, NO MORE NO LESS!
Sukuma ni collective term, ndani yake utakuta banantuzu (hawa wanapatikana sehemu za Bariadi, baadhi ya sehemu za wilaya ya Magu ambayo kwa sasa inaitwa Busega, baadhi ya sehemu za wilaya ya Bunda na Serengeti), banang'weli(hawa wanapatikana sehemu za wilaya ya Magu, Mwanza, Kwimba, Misungwi, Sengerema, Biharamulo na Geita), badakama(hawa wanapatikana sehemu za Shinyanga, Kahama, Ushirombo, Bukombe, Nzega, Igunga na Urambo) banang'ung'u(hawa wanapatikana sehemu za Meatu, banang'wagala(hawa wanapatikana sehemu za wilaya ya Maswa) lakini wote hao kwa kiasi kikubwa wanasikilizana ingawa kuna tofauti kwa baadhi ya maneno na kama maneno yanafanana kuna basi matamushi yanatofauti kidogo. Mfano banantuzu watasema biya kwa maana ya kukataa lakini banang'weli watasema yaya, banantuzu watasema busisi kwa maana ya ukwaju lakini banang'weli watasema bushishi.