Kinehe a bhanu mulimo umu?

Kinehe a bhanu mulimo umu?

Nakatogwa noyi akatopi kenaka kakisukuma, gashi nise tulibhinge. Tubheje kakikundi ka bha sukuma du. Ng'wabheja sana bhana jf.
 
Bagosha nise twimane a bhanu abali umu. Nasoma mashandikwa ga majogoli naduma ukumana gete. Ndiganika pye muli mhola. Welelo abize ning'we.

Gashi nang'ho uli ng'wana o shimba! Ndiganika n'u Highlander nang'hwe ng'wana o shimba im'ho
 
Last edited by a moderator:

aha ha ha ha...leo nimekamatwa red handed aise! Kisukuma peke yake nachojua ni kile nilijifunza Magu, kanisani, mwaka 1985. kwa hiyo hapo nimeambulia maneno matatu tu: "uli ng'wana o shimba!". Mimi ni mnyiha wa Mbozi, asilimia 100%, mwenye asili ya sehemu inaitwa Kuvwaava! Neno jingine la Kisukuma nalijua ni "Seba." Wabeeja ngosha!
 
Highlander;
Kisukuma ni simple sana, angalia tafsiri yake hii hapa!
Ndiganika n'u Highlander nang'hwe ng'wana o shimba im'ho

Ndiganika=nafikiri
n'u Highlander =hata Highlander
nang'hwe = naye
ng'wana o shimba = mtoto wa simba
im'ho =nadhani

Nadhani hata Highlander naye ni mtoto wa Simba. In as much the same way as strong black american people huwa wanapenda kusabahiana kwa salaam ya what'sup meeeen, likewise strong original sukuma people wanaamini kuwa they are as strong as a lion, na hivyo sabahi yao ya kuashiria hilo huwa ni kuitana kwa sabahi ya ng'wana o shimba, yaani mtoto wa simba! Na ukiitwa hivyo na wewe unaitikia hivyo hivyo. That's it
 
Last edited by a moderator:
Ekale e kodi(kodi ya kichwa) yaleyogohilwe gete!...huna lolo masaki ga kodi kagashika halekaya lemo aho gatola e hodi, ....nani alemo mukaya omu?....enying'wana yale eleng'wizungu yoyomba...nalemo nene nachile!.... aming'wana goboja hange, ochile oyomba??? ...enying'wana kono elitundagela yoshosha....yooo, nacha lolo!!
Umenickekesha sana. halafu wewe siyo msukuma ila unajua kisukuma.
Ling'wama limo likaja kwiba ng'holo ja halikaya bujiku, lyuja na kanigini kadololo. Aho lyashika umubutungo bo ng'holo,akanigini kubunwa kwityamutya. Kuliwila iling'wana giki, nabunwa kwityamutya nite ginehe lulu, nalyo lyushosha giki: ityamutyage duhu bakuhaya ng'holo. Huna ng'hana akanigini kityamutya kita giki "TYA, BAKUHAYA NG'HOLO" Buding'wa na kuding'wa
 
Galeho mang'ing'wana henaha nolo koyomba mamihayo ga mwaniisale wakwo gatatogwile gete.

Gokweta buchilochilo gete.

Mtizoyomba natebamanya.

mang'ing'wana= ming'wana (mijamaa)?
natebamanya.= naliteba banhya (navizia waishana)?
Kiranga ulimaanisha hayo maneno? Otherwise hicho Kisukuma sijawahi kukisikia
 
Highlander;
Kisukuma ni simple sana, angalia tafsiri yake hii hapa!
Ndiganika n'u Highlander nang'hwe ng'wana o shimba im'ho

Ndiganika=nafikiri
n'u Highlander =hata Highlander
nang'hwe = naye
ng'wana o shimba = mtoto wa simba
im'ho =nadhani

Nadhani hata Highlander naye ni mtoto wa Simba. In as much the same way as strong black american people huwa wanapenda kusabahiana kwa salaam ya what'sup meeeen, likewise strong original sukuma people wanaamini kuwa they are as strong as a lion, na hivyo sabahi yao ya kuashiria hilo huwa ni kuitana kwa sabahi ya ng'wana o shimba, yaani mtoto wa simba! Na ukiitwa hivyo na wewe unaitikia hivyo hivyo. That's it

Wooooow! You made my day. ng'wana o shimba! I wish my mother would hear this. She'd be so happy.... Our mothers build us to be as strong as the lion Makanyaga
, ng'wana o shimba. Have a great day!
 
Of course that is the phrase-about-you she would like to hear. Past stories confirm that long ago our great grandfathers were semi-normadic farmers. At certain times of the year, they would leave their homes and walk away with their cattle/flock in search for good pastures. They would live in forests (at most three months living in the wild) with all their belongings, eating fruits and drinking milk only. They would confront any kind of dangerous animals especially lions which appeared to be threat to their cattle, brutally killing them. Actually they appeared to be stronger than the lions or the current Maasai. A single man was able to handle a very strong fierce lion as if he is handling a sheep, and instead of taking these scenarios as threatening and/ frustrating, on the contrary they preferred in most cases, to treat them as their very interesting part /game of their life in the forest. I will still adore those terribly wonderful creatures forever for they were very wonderful indeed! You have a great day too!
 
mang'ing'wana= ming'wana (mijamaa)?
natebamanya.= naliteba banhya (navizia waishana)?
Kiranga ulimaanisha hayo maneno? Otherwise hicho Kisukuma sijawahi kukisikia

Uteko komanya echene eche, kongono ehenaya mamihayo ga basumba batale. No obebe ole kanegene kadololo.

Olo ogoko wakwo aleho, yomba nanghwe ombojage kole mamihayo gene aga.

maming'wana = mijamaa
natebamanya = siwafahamu (komanya = kufahamu, nate/nato = negation equal to "si" in Swahili)

Banamhala banghe bakoyomba chiza.
 
Then this is pure nyantuzu, not sukuma. Komanya= separate especially ndama from ng'ombe wakubwa, kumana=kujua, NO MORE NO LESS!
 
Banhu, lakagi ukwiba ululimi lwa kubise. Wilaga. Nene Ngalu.
 
Monshirea kwasha deny nta kindo nammanya hiyo andikeny kiswahili ini wasukuma!!
 
Wale walio"download" kabila wanafanyaje hapa....'mashikholo mageni'...ozengile hale nkoi?
 
Then this is pure nyantuzu, not sukuma. Komanya= separate especially ndama from ng'ombe wakubwa, kumana=kujua, NO MORE NO LESS!
Sukuma ni collective term, ndani yake utakuta banantuzu (hawa wanapatikana sehemu za Bariadi, baadhi ya sehemu za wilaya ya Magu ambayo kwa sasa inaitwa Busega, baadhi ya sehemu za wilaya ya Bunda na Serengeti), banang'weli(hawa wanapatikana sehemu za wilaya ya Magu, Mwanza, Kwimba, Misungwi, Sengerema, Biharamulo na Geita), badakama(hawa wanapatikana sehemu za Shinyanga, Kahama, Ushirombo, Bukombe, Nzega, Igunga na Urambo) banang'ung'u(hawa wanapatikana sehemu za Meatu, banang'wagala(hawa wanapatikana sehemu za wilaya ya Maswa) lakini wote hao kwa kiasi kikubwa wanasikilizana ingawa kuna tofauti kwa baadhi ya maneno na kama maneno yanafanana kuna basi matamushi yanatofauti kidogo. Mfano banantuzu watasema biya kwa maana ya kukataa lakini banang'weli watasema yaya, banantuzu watasema busisi kwa maana ya ukwaju lakini banang'weli watasema bushishi.
 
Wagulanya chiza gete amakundi ga basukuma, gashi tuli mmakundi minge geke?
Wabeja gete.
 
Back
Top Bottom