Kaka unapanikig mapena san mpk nakuoneag hurumaHapana ni nigeria hahaha
Na badooTuzo anazopataga kiba huwa zinafurahisha sana
Pumba tupu hapa tunatoa pongezi kwa kijana kupata tuzo wewe unaleta maelezo ya kijinga!Siku Nitaleta Threads hapa Jinsi Tuzo zinavyo gawiwa Vibaya kutokana Na bifu la Diamond Na Alikiba Hataa waandaji wa Tuzo nap kwa sasa Wamejichagulia Team hapa Tanzania! Wengine wanapewa Hata hawakustahiliii kupitia mgongo wa Furaniiiii......
Ukweli upon hili bifu linamfanyaja Fulani Kufahamika! BILA huyooo mwingine huyu si lolote si chochote
Mtasema yote mwaka huuSiku Nitaleta Threads hapa Jinsi Tuzo zinavyo gawiwa Vibaya kutokana Na bifu la Diamond Na Alikiba Hataa waandaji wa Tuzo nap kwa sasa Wamejichagulia Team hapa Tanzania! Wengine wanapewa Hata hawakustahiliii kupitia mgongo wa Furaniiiii......
Ukweli upon hili bifu linamfanyaja Fulani Kufahamika! BILA huyooo mwingine huyu si lolote si chochote
Hahahahahaha wewe uliyejib ndani ya seconds hujapanik hhahaKaka unapanikig mapena san mpk nakuoneag huruma
Tuzo Nigeria hahahahahahahaaTuzo Uganda
ha ha ha ha ha ha
Ile tuzo ya MTV, Alikiba alishapewa??NIJIBU NN MKUU?
Ndio,!Ile tuzo ya MTV, Alikiba alishapewa??
HAMNA LOLOTELicha ya watu kupga majungu lakini ukweri upo pale pale king Alikiba aka mzee wa sauti za hatari zilizompagawisha R.KELLY na NEYO amezidi kufanya vyema afrika kwa mwaka huu 2016.Pongezi ziende kwake mfalme ALIKIBA anayewaumiza vichwa wasanii wa beat za tarumbeta
source MILLARD AYO
mlifikiri mtashinda kwa kuvaa milegezo na masuruali yaliyo chanika magotini hahaaa!Tuzo za sikuiz zimepiteza mvuto kabs Eti most sylish ... Kweli kbs mzee wa oversize katwaa kombe. Wagawa tuzo nao ni wendawazimu. Tuzo ambazo mtu mmoj anapiga kura Million moja kisa tu anamchukia fulani. Hahahah this is bullshit
Dah... Nimecheka aisee......Tuzo Uganda
ha ha ha ha ha ha
Povu.Siku Nitaleta Threads hapa Jinsi Tuzo zinavyo gawiwa Vibaya kutokana Na bifu la Diamond Na Alikiba Hataa waandaji wa Tuzo nap kwa sasa Wamejichagulia Team hapa Tanzania! Wengine wanapewa Hata hawakustahiliii kupitia mgongo wa Furaniiiii......
Ukweli upon hili bifu linamfanyaja Fulani Kufahamika! BILA huyooo mwingine huyu si lolote si chochote
Povu la homo linakumwagikaTuzo za sikuiz zimepiteza mvuto kabs Eti most sylish ... Kweli kbs mzee wa oversize katwaa kombe. Wagawa tuzo nao ni wendawazimu. Tuzo ambazo mtu mmoj anapiga kura Million moja kisa tu anamchukia fulani. Hahahah this is bullshit