King Ali Kiba amejishindia tuzo za ASFAS nchini Uganda

Siku Nitaleta Threads hapa Jinsi Tuzo zinavyo gawiwa Vibaya kutokana Na bifu la Diamond Na Alikiba Hataa waandaji wa Tuzo nap kwa sasa Wamejichagulia Team hapa Tanzania! Wengine wanapewa Hata hawakustahiliii kupitia mgongo wa Furaniiiii......

Ukweli upon hili bifu linamfanyaja Fulani Kufahamika! BILA huyooo mwingine huyu si lolote si chochote
Pumba tupu hapa tunatoa pongezi kwa kijana kupata tuzo wewe unaleta maelezo ya kijinga!
 
Siku Nitaleta Threads hapa Jinsi Tuzo zinavyo gawiwa Vibaya kutokana Na bifu la Diamond Na Alikiba Hataa waandaji wa Tuzo nap kwa sasa Wamejichagulia Team hapa Tanzania! Wengine wanapewa Hata hawakustahiliii kupitia mgongo wa Furaniiiii......

Ukweli upon hili bifu linamfanyaja Fulani Kufahamika! BILA huyooo mwingine huyu si lolote si chochote
Mtasema yote mwaka huu
 
Tuzo za sikuiz zimepiteza mvuto kabs Eti most sylish ... Kweli kbs mzee wa oversize katwaa kombe. Wagawa tuzo nao ni wendawazimu. Tuzo ambazo mtu mmoj anapiga kura Million moja kisa tu anamchukia fulani. Hahahah this is bullshit
 
Licha ya watu kupga majungu lakini ukweri upo pale pale king Alikiba aka mzee wa sauti za hatari zilizompagawisha R.KELLY na NEYO amezidi kufanya vyema afrika kwa mwaka huu 2016.Pongezi ziende kwake mfalme ALIKIBA anayewaumiza vichwa wasanii wa beat za tarumbeta

source MILLARD AYO​
HAMNA LOLOTE
 
Tuzo za sikuiz zimepiteza mvuto kabs Eti most sylish ... Kweli kbs mzee wa oversize katwaa kombe. Wagawa tuzo nao ni wendawazimu. Tuzo ambazo mtu mmoj anapiga kura Million moja kisa tu anamchukia fulani. Hahahah this is bullshit
mlifikiri mtashinda kwa kuvaa milegezo na masuruali yaliyo chanika magotini hahaaa!
 
Kwanini watu hawapendi ali kiba ashinde tuzo yoyote? Akishinda lazima kukasirika na kubeza?

He deserves hongera hata kama atashinda tuzo za k/koo
 
Siku Nitaleta Threads hapa Jinsi Tuzo zinavyo gawiwa Vibaya kutokana Na bifu la Diamond Na Alikiba Hataa waandaji wa Tuzo nap kwa sasa Wamejichagulia Team hapa Tanzania! Wengine wanapewa Hata hawakustahiliii kupitia mgongo wa Furaniiiii......

Ukweli upon hili bifu linamfanyaja Fulani Kufahamika! BILA huyooo mwingine huyu si lolote si chochote
Povu.
 
Tuzo za sikuiz zimepiteza mvuto kabs Eti most sylish ... Kweli kbs mzee wa oversize katwaa kombe. Wagawa tuzo nao ni wendawazimu. Tuzo ambazo mtu mmoj anapiga kura Million moja kisa tu anamchukia fulani. Hahahah this is bullshit
Povu la homo linakumwagika
 
Back
Top Bottom