King Ali Kiba amejishindia tuzo za ASFAS nchini Uganda

King Ali Kiba amejishindia tuzo za ASFAS nchini Uganda

Diamond-Platnumz31.jpg
 
Siku Nitaleta Threads hapa Jinsi Tuzo zinavyo gawiwa Vibaya kutokana Na bifu la Diamond Na Alikiba Hataa waandaji wa Tuzo nap kwa sasa Wamejichagulia Team hapa Tanzania! Wengine wanapewa Hata hawakustahiliii kupitia mgongo wa Furaniiiii......

Ukweli upon hili bifu linamfanyaja Fulani Kufahamika! BILA huyooo mwingine huyu si lolote si chochote
 
Back
Top Bottom