2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Mzalendo yupi waliyemuondoa?They have stolen from us and they are using their puppets (our leaders) to continue the deed.
Akijitokeza mzalendo anaitwa dictator na wanamuondoa.
Gadaffi, Magufuli, Lumumba, Sankara n.kMzalendo yupi waliyemuondoa?
Duh, Magufuli aliuawa na wazungu?Gadaffi, Magufuli, Lumumba, Sankara n.k
Hata. Gaddafi katika historia aliuwawa na wa Libya wenzake ila ukweli upo uchiDuh, Magufuli aliuawa na wazungu?
Hata Lumumba aliuwawa na Wakongo wenzake ila ukweli upo uchi.Duh, Magufuli aliuawa na wazungu?
Achana na Lumumba, tunajua aliuawa.....mimi nimekuuliza kuhusu MagufuliHata Lumumba aliuwawa na Wakongo wenzake ila ukweli upo uchi.
Jiongeze
JiongezeAchana na Lumumba, tunajua aliuawa.....mimi nimekuuliza kuhusu Magufuli