KING CHARLES III vows to usher In ‘Great Reset’ or NWO following Queen Elizabeth’s death while Queen Elizabeth’s corpse is still warm

Mkuu, naheshimu sana msimamo wako, lakini haimaanishi nakubaliana na wewe, au napingana na wewe....kwenye maisha, ni muhimu sana kutokuwa extremist. Part of being an extremist makes you play exactly the way they want you to. Je, unayoyasema ni ya kweli, yes ni ya kweli.

Mfano, pale mkristo anapokuwa extremist mpaka anasema waislamu wataenda motoni because anachoamini yeye ndio ukweli na pia vice versa kwa wale waislaam wanaoua kwa ajili ya dini yao. Hapo hata hatujaongelea wahindu, waafrika na mila zao zilizopotea, na imani zingine nyingi.

Je! Kuja kwa dini, ni jambo jema au baya? Jibu ni kwamba kila kitu kina wema na ubaya. Its just the way things are.

Politics is very very important kwenye maisha, lakini kwa digrii hiyo hiyo inaplay pia a negative part. You cant take one and leave the other. Same way the politicians are politicians for their own sake, same way the NWO globalists are doing it for the own sake.

Its just a reflection ya society. Kwamba sisi as a people are failing our own selves. Pointing fingers wont help....or deciding nani mbaya na nani mzuri. Ni JUKUMU LA KILA MMOJA WETU, if not...then its inevitable creation has to re-set itself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…