Tatizo kubwa King anapenda sana kupiga mapichapicha ya local mara matreni mara uswahilini nk. Ni sawa King tunakupenda zaidi ya pacha wako but huu ulocal unatutia simanzi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji50][emoji50]mkuuu ugomvi na wizkid tenauna miaka mingapi?
juzi alikuwa muscat before that alikuwa US na Canada
umesahau ugomvi wa kiba na wizkid?
we baki kupewa maraha na sukari ya warembo 'the diamond