King Kiba ajaribu kujitanua kimataifa

King Kiba ajaribu kujitanua kimataifa

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
3,544
Reaction score
2,169
Tatizo kubwa King anapenda sana kupiga mapichapicha ya local mara matreni mara uswahilini nk. Ni sawa King tunakupenda zaidi ya pacha wako but huu ulocal unatutia simanzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimataifa anahit sana China sema hapendi show off
 
Tatizo kubwa King anapenda sana kupiga mapichapicha ya local mara matreni mara uswahilini nk. Ni sawa King tunakupenda zaidi ya pacha wako but huu ulocal unatutia simanzi

Sent using Jamii Forums mobile app

una miaka mingapi?

juzi alikuwa muscat before that alikuwa US na Canada

umesahau ugomvi wa kiba na wizkid?

we baki kupewa maraha na sukari ya warembo 'the diamond
 
Hua cielewi Kwanini kiba si mtu wa kelele..japo ana Kila kitu Cha kumfanya awe juu
1.ni star
2.ana kipaji
3, ana pesa
4.ana demu mkali.
5.ana usafiri mkali?
Ingekwa Mimi bongo kungechafuka!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom