Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 551
wakuu mfalme ni mfalme tu. huyu jamaa ni noumaaa. jana nilikua pale dar live hatari,king kiba kafanya balaaa kwanza kulia na nyomi ya watu ambayo haijawahi kutokea hapa dar.kawachanganya na kapagawisha watu shoo ya nguvu yaani ilikua ni cheketuaaaaaaaaaaa. huyu ndie anaitwa THE KING KIBAAAAA.hakuna bongo kama huyu mfalme,ni mtu wa kazi tu hajui kuuza sura
usingecommentkwahiyo hii nayo ni thread..... ??????? dhumuni likiwa ni nini hasa>?????
"akimbiza mbaya mbovu" sasa kipimo chako ni kwa hao waliokua wanalia tu? Vp na dai nae angepanda? Alafu wakalia tena? Ungeandikaje?
Halooooooooooo hongera kiba
Afadhali sasa jamani.Tulikatae hili 'pepo' la uKiba na uMond linalotaka kutumaliza members wa celebrities.