King kiba akimbiza mbaya mbovu dar live,hatari

King kiba akimbiza mbaya mbovu dar live,hatari

Sana tuu Kiba! Kwakweli upo vizuri japo Dangote ndo zaidi, wote tunajua? Ingawa yule ananiuzi kushirikiana na maCCM... Kaza buti nawe upae na kuzimake km mshikaji siku moja mwana au siyo? Nyie wote wasanii wetu mtuwakilishe vyema nyumbani na nje!! Salute ✌️..
 
"akimbiza mbaya mbovu" sasa kipimo chako ni kwa hao waliokua wanalia tu? vp na dai nae angepanda? alafu wakalia tena? ungeandikaje?
 
wakuu mfalme ni mfalme tu. huyu jamaa ni noumaaa. jana nilikua pale dar live hatari,king kiba kafanya balaaa kwanza kulia na nyomi ya watu ambayo haijawahi kutokea hapa dar.kawachanganya na kapagawisha watu shoo ya nguvu yaani ilikua ni cheketuaaaaaaaaaaa. huyu ndie anaitwa THE KING KIBAAAAA.hakuna bongo kama huyu mfalme,ni mtu wa kazi tu hajui kuuza sura

Hongera sana mkuu japo Dangote alishatangulia kitambo! Ila good work bana.
 
Afadhali sasa jamani.Tulikatae hili 'pepo' la uKiba na uMond linalotaka kutumaliza members wa celebrities.

Hhhhhaaaa nifah wasikuchoshe watu wa humu buanaa
 
Last edited by a moderator:
Afadhali sasa jamani.Tulikatae hili 'pepo' la uKiba na uMond linalotaka kutumaliza members wa celebrities.

Shoga wale mashabiki wenye mlengo wa kushoto, a.k.a wafia msanii a.k.a mashabiki wenye siasa kali wala wasikuchoshe.
 
Back
Top Bottom