ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Luna header Moja alichumpa kidogo iwe goliAlijitahidi hadi akasababisha Goli
Povu lote la nini? We unakula kwa kiba au?Ally Kiba anajua kotekote anang'ata hatumii Kiki kama mijitu fulani hivi!
Povu la nini? Kwani we mijitu fulani by the way acha kuwashwa washwa na kujibu kila comments!Povu lote la nini? We unakula kwa kiba au?
We ndio una washwa washwa! Hapa anazungumziwa kiba, sa hao majitu wametokea wapi? Kama sio umama huo ni niniPovu la nini? Kwani we mijitu fulani by the way acha kuwashwa washwa na kujibu kila comments!
We ndio una washwa washwa! Hapa anazungumziwa kiba, sa hao majitu wametokea wapi? Kama sio umama huo ni nini