King Kiba aligusa mpira kweli ?

King Kiba aligusa mpira kweli ?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa mliotazama game ya Coast Union Vs Mbeya City jana, vipi mfalme alifanikiwa hata kutoa pasi moja ? Sikupata muda wa kuangalia nasubiria marudio azam tv leo.
 
Mi nilimuona wakati anafanyiwa sub tu ya kutoka nje.
 
Nashindwa elewa jamaa anafanya hv kwa ajili ya mapenzi na timu..kipaji au maana sikuzote mshika mawili
 
Povu la nini? Kwani we mijitu fulani by the way acha kuwashwa washwa na kujibu kila comments!
We ndio una washwa washwa! Hapa anazungumziwa kiba, sa hao majitu wametokea wapi? Kama sio umama huo ni nini
 
Umama upoje?, inawezekana na wewe ni mijitu fulani hivi ndio maana unapanic! Na ndio maana nimemtaja Kiba sijataja vile mindset yako inataka mzee!
We ndio una washwa washwa! Hapa anazungumziwa kiba, sa hao majitu wametokea wapi? Kama sio umama huo ni nini
 
Back
Top Bottom