King Kiba anaendelea kupiga pesa kwenye kustream

King Kiba anaendelea kupiga pesa kwenye kustream

Wiki nyingine, namba 1 ni yuleyule
.
Tanzania Most Streamed Artist officialikiba

Tanzania Most Streamed Song #SoHot

Dodo ndio ngoma ya Bongo Flava inayosikilizwa zaidi on boomplaymusic_tz

Dodo Imeshindikana Zimepita ngoma kibao hapo kati ila Dodo ipo Imara, Mziki Mzuri na Bora unapimwa huku kwenye Kustream na ndiko wasanii wakubwa wote walikowekeza na wanakopiga pesa

Ukiona msanii anapima mziki wake kwa Views Youtube na Mavideo yake ya nusu uchi ujue mziki mbovu, si mbaya Diamond akajifunza kwa Ali kiba kutoa ngoma zinazoishi hazichuji, siyo yale mamiziki Jojo yanatafunwa na kutemwa Hapohapo

Pole Sana Babu Tale kwa kuondokewa na Mama Watoto wako..

Niitumie Furusa hii adimu kuwaomba team Wcb Mumuombee yule meneja mwenye mashavu makubwa kama jibwa la kijerumani na mwambieni aache utoto

View attachment 1492987View attachment 1492988View attachment 1492989
Unajitekenya na kucheka mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787],yaani Ana compete na zuchu..!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km nawaona team tecno wereva + kununuliwa bundle, wakiwa wamevimba baada ya kuona uzi huu. Nasubiri povu jingi kutoka kwao maana nna nguo chafu hatareeeh, piga kelele kwa G. O. A. T ake, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
Diamond is the real G.O.AT shiiiit.
 
Wajinga wengine bwana,yaani mtu tangu afungue account huko boomplay kashapitwa hadi zuchu bado mnasifia. Sijui mnasikilizia nyimbo zake offline Dah
Nawashangaa anacompete na zuchu,yaani hata AUDIOMACK stream hazifiki 1m
 
Dah kuna uzi humu unasema uwezo wa kujenga hoja wa mashabiki wa Alikiba ni zero...Leo nimeamini hilo kwa kukusaidia tu bwana spartacus ni kwamba hizo no weekly streaming charts ambazo upatikana kwa kuangalia wimbo upi ulikuwa ni mostly streamed over a particular week.kwahiyo hizo chati sio kwamba ni za nyimbo ambazo zimestreamiwa zaidi kwa mwaka ukiangalia overall chart utakuja kuona Jeje tangu iwekwe boomplay INA streaming zaid ya Dodo hiyo inamaanisha Diamond amepiga hela zaidi kuliko Alikiba...kingine nimegundua akili zako fupi sana na huelewi chohote kuhusu muziki Bali unazongwa na roho chafu ya chuki..kwanini nasema hivyo!?¿...ni kwamba kwa uelewa wako unadhani Boomplay ambayo inapatikana kwenye simu za tecno tu inaweza kuwa na malipo mazuri kuliko YouTube ambayo ni worldwide? au hujui kwamba YouTube IPO top three ya platform zinazolipa zaid kwa streaming streaming?
 
Fact
 
Back
Top Bottom