Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Watakuwa Wamerogwa Na Ndumba Za Madale, Wasienjoy Show Ya Fundi King Kiba - Mzee Wa Muziki MzuriJamani hebu tuwe serious
Tazama picha halafu niambie hao watu wanafanya nini...!
Na hao ndo wapo mbeleJamani hii shoo ya Ali "K" imehudhuriwa na waandishi wa habari au washabiki?
Hapa ni mikono ya djDaaah....matei lounge yupo Nani mkuu si tupo perugina pande hzi
Ahsante kwa picha, na sisi wasafi tupo sebuleni Iringa tunapiga show ya ujanjaujanja 😀😀😀😀😀View attachment 450334View attachment 450336View attachment 450337View attachment 450338View attachment 450339View attachment 450340Ndani ya perugina club no janja janja aisee ni muziki mzuri tuu huku [HASHTAG]#yooo[/HASHTAG]
View attachment 450334View attachment 450336View attachment 450337View attachment 450338View attachment 450339View attachment 450340Ndani ya perugina club no janja janja aisee ni muziki mzuri tuu huku [HASHTAG]#yooo[/HASHTAG]
hahaha! aisee, hii ni zaidi ya balaa! mtoa mada si kasema yupo eneo la tukio.huu uzi wauongo
Hizi picha ni za mwaka jana, bonyesha u google search uone tarehe zake.
Shame on you kutaka kujiweka ambapo haupo au niseme hampo kwa uongo unasaidia nini?
View attachment 450373
Jf inaweza kukuvua nguo mbele ya wakwe live.....tayari kavuliwa mtu nguo hukuuuhuu uzi wauongo
Hizi picha ni za mwaka jana, bonyesha u google search uone tarehe zake.
Shame on you kutaka kujiweka ambapo haupo au niseme hampo kwa uongo unasaidia nini?
View attachment 450373
Hahahhaa boss timu kibakuli wote wamekimbiaaa......maneno mengi show hawamsapotiii....Japo simkubali kiivo huyu jamaa, ila baada ya kuona hizo picha za performances namuonea huruma sana hasa wale vilaza wanaojiita ni mashabiki zake kumtaka awe juu ya Dangote...
Kibaya zaidi wanasema ni mashabiki wa kiba ila hawaendi kwenye show wamekaa ndani kufuatilia show ya Diamond ili wapate pa kumtukania Diamond, wengine hawajui hata kama kiba ana show leo ila wanajua hata jina la hoteli aliyofikia Diamond Iringa... Poor Kiba..
Mmmh show mbona watu wachche ivo wakati ni ukumbin mmmh aiseee ni aibu kubwaView attachment 450334View attachment 450336View attachment 450337View attachment 450338View attachment 450339View attachment 450340Ndani ya perugina club no janja janja aisee ni muziki mzuri tuu huku [HASHTAG]#yooo[/HASHTAG]
Mkuki kwa nguruwe mna wivu ka nn kisa niliwaambia mond kafanya shoo mavumbini ndo mmekuja kujbu hahaaaShoo hii mbona kama nyuma ya nyumba ya mtu hahahaha
Daaaahh yani hayo mandhari hayana hata hadhi.. Kisehemu chenyewe space ndogooo..