King Kiba anafunga Mwaka Leo ndani ya capital city Dodoma

King Kiba anafunga Mwaka Leo ndani ya capital city Dodoma

mashabiki wa kiba ni vichwa maji...Juzi walikuwa wanahangaika kudai na kukosoa picha za beach party...Lakini leo kwenye uzi huu siwaoni....sababu wamejazana kwenye uzi wadiamond....Poor kibamia... Hawa ndo mashsbiki wako
Nyie watot wa ujanja unja sisi hatuna makuu kama nyinyi shoo kimya kimya lakn dodoma wanaelewa nn kili happen
 
Mwenzake anafanya show uwanja wa mpira samora , yeye anafanya show clab uchwara dodoma
Alafu unawashindanisha?
Kiba alitakiwa kufanya show jamuhuri stadium kama kweli ananguvu atajaza
Tungefanya jamuhur tungesema tumeiga pili shoo yenu ilipata promo utadhani wakati wa kampeni za lumumba

Ila one day mtaelewa mond si alikataa shoo ya mtuu mbili

kiba atabaki kupendwa na mond atabaki kukubalika tu so sisi hatuna makuu tufanya roho inapenda wala hatuna shida ya kubeba dhamb za weng
 
Eeeeh naona uteam bila viwanj vy mazoez ,,,,ukiwa na idadi hio harafu kiingilio n tsh.25000,,,,xhda iko wap
 
Tungefanya jamuhur tungesema tumeiga pili shoo yenu ilipata promo utadhani wakati wa kampeni za lumumba

Ila one day mtaelewa mond si alikataa shoo ya mtuu mbili

kiba atabaki kupendwa na mond atabaki kukubalika tu so sisi hatuna makuu tufanya roho inapenda wala hatuna shida ya kubeba dhamb za weng
Sasa mbona mnampakazia boss wenu show za mwaka jana
 
Japo simkubali kiivo huyu jamaa, ila baada ya kuona hizo picha za performances namuonea huruma sana hasa wale vilaza wanaojiita ni mashabiki zake kumtaka awe juu ya Dangote...

Kibaya zaidi wanasema ni mashabiki wa kiba ila hawaendi kwenye show wamekaa ndani kufuatilia show ya Diamond ili wapate pa kumtukania Diamond, wengine hawajui hata kama kiba ana show leo ila wanajua hata jina la hoteli aliyofikia Diamond Iringa... Poor Kiba..
Imewapenya
 
Back
Top Bottom