LUTULWITU
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 584
- 983
Kweli bana,Anastahili kuanzia uvaaji... Na privacy life.
kuna wasanii,unajua
babake anatia nani
mamake anatiwa na nani
rangi ya chupi aliyovaa mamake
nk nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli bana,Anastahili kuanzia uvaaji... Na privacy life.
🤣🤣🤣Baraka the prince anamjua huyu jamaa vizuri
Kupata kuna mungu mkuu.Mbona mnamkuza na kumtukuza sana kwa kumuita nguli wa bongo fleva wakati wapo magwiji wanaostahili kuitwa hivyo? Kiba kaja in the late kakuta kina dully sykes, mr blue wanakimbiza game. Manguli wa bongo fleva ni hawa, sugu, profesa jay, juma nature, inspector haroun, kuna wale waliomba kwa makundi makundi, makundi ni mengi. Tukisema bongo fleva ni wale waasisi wa mwanzomwanzo sio hawa watoto wadogo waliokuja juzijuzi na kutamba