Mbn maneno mengi sana kuna mini ndgatuliage nae sio kila siku lawama, kazi ya kuskiliza tuachie wasikilizaji,
We dondosha ngoma kali hayo mengine achana nayo bhana,
Unamaneno maneno utadhani mwimbaji wa singeli bhana, ah
Mkuu kwenye avatar yako ni wewe au ni picha tu kama picha nyinginekweli kabisa
hahahaaaaa naona yamekufika hapa.......au hilo jina limekutoka bahati mbaya mkuuHuyo Bwege mbona anapenda sala kulalamika kwenye Social Media/Media.
Miss wewe ni huyo kwenye biokweli kabisa
Alikiba amesema tatizo lililopo kwenye muziki wa Tanzania, ni baadhi ya nyimbo nzuri kutopewa nafasi ya kusikika kama zinavyostahili.
Ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Daladala Beat cha Magic FM wakati alipokuwa kwenye ziara ya kupromote wimbo wake na Ommy Dimpoz, Kajiandae.
“Kuna watu wanaweza wakawa wanajua kabisa huu ni muziki mzuri, kuna watu hawatotaka ukae kwa muda mrefu, hii inatucost sana,” alisema.
“Kuna muziki mzuri, wasanii wanaimba nyimbo nzuri lakini kuna watu wengine hawataki hii haifai hatuwezi kuendelea,” alisisitiza. “Hili suala siwezi kulinyamazia kimya.”
Source Bongo 5
Ni kweli kabisaa, Anakaza audio za kufa mmasai ila video anazinguaHuyu jamaa video zake ndio huwa mbovu, sijui Nani huwa anamwambia Atoe video mbovu namna Hii, anaimba Safi, audio Safi, namkubali Sana lakini video ndio anaponikera ...
kabisa hapa naunga mkono.Tatizo la nyimbo kutokuchezwa kwenye radio na Tv lipo na sio tu kwa Ali kiba bali hata wasanii chipukizi na wakongwe.
Vipi mkuu ulishaenda kwa Yule jamaa alietaka kukupa 10k ukamchue? Au Haikuwa siriaz kesi...?kweli kabisa
Hiyo picha yako inanikumbusha nikiwa nabet halafu mtandao ukawa bize [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Piga kazi acha lawama king kiba!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sanaHiyo picha yako inanikumbusha nikiwa nabet halafu mtandao ukawa bize [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]