King Kiba atupia lawama tena kwa vituo ya radio na Tv

King Kiba atupia lawama tena kwa vituo ya radio na Tv

Watu wale Zenji,sijui huko kwenu vipi,au ndio Fiesta imepita tunasubiri za huruma ya Mombasa.....???
 
Mm hadi leo nasikiliza miziki ya Rama Dee, Mad ice na wengine ambao hawana promo kabisa radioni. Ni aibu ulimwengu wa leo kwa mwanamuziki wa calibre yake kutegemea radio na TV pekee for promotions......
 
huyu kiba ana kipaji hadi cha kulialia na kulalamikA yaani kalia mpakA mwenzake kanyanganywA tuzo teh! teh!teh!bt kwa level ambayo kiba amefikia hatakiwA kuwa hvyo bali anapaswA kutoa nyimbo kali na kuangalia jinsi soko lake la mziki litakavyokuA.
 
Hapo kawachana WCB kwa sababu wakisikia wasanii wengine wametoa wimbo basi nao hutoa ili wasipande chati, WALE mbwa wana roho mbaya sanambwa wale, siyo mshabiki wa ali kiba, ila jamaa wana hila sana ngoja mtaona
mfano walitoa ngoma gani ili kuua ngoma gani? ili ulio tuacha njia panda twende pamoja
 
Watu wale Zenji,sijui huko kwenu vipi,au ndio Fiesta imepita tunasubiri za huruma ya Mombasa.....???

Tafadhali mkuu kwa heshima yangu naomba uishie hapo hapo utawaua watu kwa presha humu ndani.......😀😀😀😀
 
hili swala si la leo ni jambo la kawaida hapa bongo lakini unafanyaje kutoka hapo,ni kujijengea mazingira
Hapo kawachana WCB kwa sababu wakisikia wasanii wengine wametoa wimbo basi nao hutoa ili wasipande chati, WALE mbwa wana roho mbaya sanambwa wale, siyo mshabiki wa ali kiba, ila jamaa wana hila sana ngoja mtaona
uta

hivi unajua maana ya biashara??unajua maana ya ushindani kwenye biashara??wcb ni wabunifu wanajua lini na wakati gani watoe nini sio wanatoatoa tuu nyimbo ilimradi,na kwa hiyo comment yako tayari unakubali kuwa hii lebo imejengeka vya kutosha na inatisha ndo mana kila nyimbo wanayotoa inafunika
 
Tuzo hazinunuliwi kizembe kama unavyofikiria watu siku hz wanaangalia kura...mfano mzr Alikiba akiwa kwenye categor moja na Diamond platnumz, Alikiba huwa hashindi na halalamiki kwa sababu kura zinaonyesha na watanzania wote tunaziona....halafu jiulize kwa nn Alikiba tuzo zote kubwa akiwekwa category moja na diamond Alikiba anakuwa hana ushawishi mkubwa kwa team yake wampigie kura fact ni kuwa anajua fika hawezi mzidi diamond platnumz kwa kura....!!!!
Kwahiyo hata zile za KTMA Diamond alimzidi kura Kiba?
 
Yaani huyo kiba asilalamike, yy na mwenzake mondi hata wote hata watoe nyimbo gani, zitapigwa weee mpaka cd zitachubuka, sasa kama yy analamika wakati yy nae ni sehemu ya hilo tatizo. Wanaotakiwa kulalamika mtu kama maua sama ana hit ya sisikii, mahaba niue ila promo hapewi, future jnl kubali naye wamembania, barnaba nyimbo yake lover boy kali lkn inapewa airtime ndogo, galatone samaki bonge la hit lkn limepita hivi hivi, manwari ya kasim mganga watu wakabana. Asipende kulalamika wakati naye ni sehem ya tatizo na timu zake team joketi, wema na kiba zinaharibu mziki.Hiyo come back yake yakutaka kuseleleka kupitia diamond, kwa kuwatumia maadui zake diamond matokeo yake mmezigawa radio, Watangazaji na madj matokeo yake nyimbo zimazopigwa ni zenu au mlizoshirikishwa nyie, ila za wenzenu kapuni, acha kulalamika braza
 
Angalia situation inavyokwenda afu wewe ndio utang'amua kama ni ushabiki au ni nini ? Jamaa wanaua mziki wa bongo wantaka wao wenyewe ndio wasikike ni upuuzi, nshakuambia mm siyo shabiki wa ali kiba
Huna fact
 
hahahaaaaa naona yamekufika hapa.......au hilo jina limekutoka bahati mbaya mkuu
Dogo analalamika sana utafikiri yeye ndio msanii pekee hapa TZ....Zama zake zimeshaisha enzi za Cinderella,kwa sasa overated aka Anabebwa tu.
 
Back
Top Bottom