King kiba katoa unofficial song

Nilishindwa maliza tizama huu wimbo..
 
hacha aumizwe.... ndio maisha yake... [HASHTAG]#kunisikitsha[/HASHTAG] kwa watu kujishongondoa.... mwacheeeeee.... oooohh mwacheeee
 
ame jifanya mkandarasi... we cement yeye mchanga ana jenga wewe una bomoa
 
ile pruuuuu mpaka macca.... nikadandiaga bongo muvi, kumbe mapenzi hayataki haraka ni kama tango tu natiaga chumvi, mwenzenu nikaoza na kujitia kitandani mjuzi, et nataka fukuza paka badala ya mbwa ni kafuga mbzi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…