King kiba katoa unofficial song

King kiba katoa unofficial song

Nilishindwa maliza tizama huu wimbo..
 
Baada ya simba (platnumz) kutoa unofficial songs mbili, king kiba (Alikiba) nae katoa unofficial song (maumivu per day)
b043b5c886ca22728e61a4d739ed8b35.jpg
Wewe umetoa nn
 
hacha aumizwe.... ndio maisha yake... [HASHTAG]#kunisikitsha[/HASHTAG] kwa watu kujishongondoa.... mwacheeeeee.... oooohh mwacheeee
 
ame jifanya mkandarasi... we cement yeye mchanga ana jenga wewe una bomoa
 
ile pruuuuu mpaka macca.... nikadandiaga bongo muvi, kumbe mapenzi hayataki haraka ni kama tango tu natiaga chumvi, mwenzenu nikaoza na kujitia kitandani mjuzi, et nataka fukuza paka badala ya mbwa ni kafuga mbzi....
 
Back
Top Bottom