Mkuu ukiwa unatoa taarifa jitahidi uitoe kwa kina ili ieleweke vema ama ambatanisha na picha ... nimekusaidia kwa hilimkali wa muziki wa bongo Ali kiba anatarajia kufanya show katika miji mbali mbali nchini marekani kuanzia mwezi March April 2017, hii si Mara ya kwanza kwa mwanamziki huyo wa bongo flavour kwani ameshawahi kuzunguka nchi mbali mbali duniani kufanya show.
mkali wa muziki wa bongo Ali kiba anatarajia kufanya show katika miji mbali mbali nchini marekani kuanzia mwezi March April 2017, hii si Mara ya kwanza kwa mwanamziki huyo wa bongo flavour kwani ameshawahi kuzunguka nchi mbali mbali duniani kufanya show.
Unafahamu maana ya kutikisa dunia.?ni mtu punguani tu ambae hutukana matusi pasipo hitaji matusi na nahisi utakua umesha piga viroba asubuh asubuh ndio maana matusi kwako unaona poa but nikushauri acha kunywa viroba
Labda unenizidi usomi hapo sina Shaka na waweza kuwa na PhD ila kuhusu tafsiri ya elimu utasubiri Sanahahaa ndugu yangu elimu ipi unayo izungumzia ww? na nauhakika hujanizidi elimu yoyote ile