Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehe dah watu MNA maneno wallahAkatikise marekani??..yaani marekan hii hii ya kina Jay Zee na Beyonce ?? Kwa kipi hasa?? AJE?? labda AJE na wale tembo na twiga wake
Nasikia anaenda kutumbuiza kwny siku trump anaapishwakwani tafsiri ya elimu ni nini? maaana naona unapiga tu mbwembwe hapa
[emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] Mkuu hizo dharau sasaShoo za room labda
Bora wew kuliko huyo alie post,mim naona Jf waongeze vigezo ili kuzibiti wimbi la kuingia kwa holelaMkuu ukiwa unatoa taarifa jitahidi uitoe kwa kina ili ieleweke vema ama ambatanisha na picha ... nimekusaidia kwa hili
![]()
![]()
Kiki yako unaotaka itoa hapa imekaa kizembe yan.. Haina hamasa..mkali wa muziki wa bongo Ali kiba anatarajia kufanya show katika miji mbali mbali nchini marekani kuanzia mwezi March April 2017, hii si Mara ya kwanza kwa mwanamziki huyo wa bongo flavour kwani ameshawahi kuzunguka nchi mbali mbali duniani kufanya show.
Mtume Picha tu..mkali wa muziki wa bongo Ali kiba anatarajia kufanya show katika miji mbali mbali nchini marekani kuanzia mwezi March April 2017, hii si Mara ya kwanza kwa mwanamziki huyo wa bongo flavour kwani ameshawahi kuzunguka nchi mbali mbali duniani kufanya show.
nini hiki sasa[emoji90]
Sawa
Dunia ya Kariakoo, mchikichini na mombasa
Shoo za room labda
Hakuna kitu
Vipi tuwape ndimu na wembe wa topaz mmezee na pilipili kichaa/mbuzi🙂 🙂 JF siyo mahala salama pa kumpa promo msanii, maana watu wa humu wapo very reactant, ingekuwa fb ungepata likes had 5k, pole sana kwa kukosea njia mkuu
taarabu siyo!?Vipi tuwape ndimu na wembe wa topaz mmezee na pilipili kichaa/mbuzi
Safari na muziki...!mkali wa muziki wa bongo Ali kiba anatarajia kufanya show katika miji mbali mbali nchini marekani kuanzia mwezi March April 2017, hii si Mara ya kwanza kwa mwanamziki huyo wa bongo flavour kwani ameshawahi kuzunguka nchi mbali mbali duniani kufanya show.
Elimu Ni kujua kitu kutoka kwenye kila kitu na sio ww unayejua kila kitu kutoka kwenye kitu.kwani tafsiri ya elimu ni nini? maaana naona unapiga tu mbwembwe hapa
Kiba anapiga shows USA na ulaya hao WCB wanavaa pampasHivi huko Yeye ni Wa kwanza Kwenda kupiga Show? Akina Rayvanny na Harmonize si wamepita huko labda tofauti mapromoter!