King kiba kuitikisa dunia mwaka 2017

King kiba kuitikisa dunia mwaka 2017

Labda unenizidi usomi hapo sina Shaka na waweza kuwa na PhD ila kuhusu tafsiri ya elimu utasubiri Sana
kwani tafsiri ya elimu ni nini? maaana naona unapiga tu mbwembwe hapa
 
Duh ilianza ataisimamisha dunia mara oo atailaani bongo fleva sasa kutikisa dunia jambo ambalo hata tembo mia hawawezi
 
Mkuu ukiwa unatoa taarifa jitahidi uitoe kwa kina ili ieleweke vema ama ambatanisha na picha ... nimekusaidia kwa hili

2e85c7ff59ee756212bef5fe7ae5632f.jpg

0213c7cd47bcc19150325563278f4a34.jpg
Bora wew kuliko huyo alie post,mim naona Jf waongeze vigezo ili kuzibiti wimbi la kuingia kwa holela
 
mkali wa muziki wa bongo Ali kiba anatarajia kufanya show katika miji mbali mbali nchini marekani kuanzia mwezi March April 2017, hii si Mara ya kwanza kwa mwanamziki huyo wa bongo flavour kwani ameshawahi kuzunguka nchi mbali mbali duniani kufanya show.
Kiki yako unaotaka itoa hapa imekaa kizembe yan.. Haina hamasa..
 
Mtume Picha tu..
 
Yani dunia itikisike mtu nyimbo nzima anasema “yoooh”....
Kuna mambo ya kuitikisa dunia ila huyo pimbi sio miongoni mwa hayo mambo...
 
nini hiki sasa[emoji90]

Dunia ya Kariakoo, mchikichini na mombasa

Shoo za room labda

Hakuna kitu

🙂 🙂 JF siyo mahala salama pa kumpa promo msanii, maana watu wa humu wapo very reactant, ingekuwa fb ungepata likes had 5k, pole sana kwa kukosea njia mkuu
Vipi tuwape ndimu na wembe wa topaz mmezee na pilipili kichaa/mbuzi
 
Kiki yako unaotaka itoa hapa imekaa kizembe yan.. Haina hamasa..
tatizo lako umeshindwa tofautisha kiki na ukweli ,sasa kama anaenda kweli marekani hukutaka aseme? acha mihemko isiyo kua na tija mkuu
 
Angeacha Muziki, acheze mpira tu, mbona kipaji anacho
 
mkali wa muziki wa bongo Ali kiba anatarajia kufanya show katika miji mbali mbali nchini marekani kuanzia mwezi March April 2017, hii si Mara ya kwanza kwa mwanamziki huyo wa bongo flavour kwani ameshawahi kuzunguka nchi mbali mbali duniani kufanya show.
Safari na muziki...!
 
Elimu Ni kujua kitu kutoka kwenye kila kitu na sio ww unayejua kila kitu kutoka kwenye kitu.
naona umekuja na principle zako za inductive na deductive hahaaa ukijikanyaga kanyaga kuelezea elimu
 
Hivi huko Yeye ni Wa kwanza Kwenda kupiga Show? Akina Rayvanny na Harmonize si wamepita huko labda tofauti mapromoter!
Kiba anapiga shows USA na ulaya hao WCB wanavaa pampas
 
Back
Top Bottom