King Kiba kuvunja Rekodi ya Dunia: Kuwa msanii asiye m-follow mtu yeyote mtandaoni

Kabla ya mwaka kuisha atakuwa kafikisha followers 1M bila kumfollow mtu yeyote ..............................CONGRATS KING


Jokate bwana kwa kunogewa pumbu yaani mpaka haujitambui. Mtu pumbu unachapwa wewe, ya nini kumfagilia mtu kama hatuna muda naye?
 
Huku nikuzidiwa kwa mahaba kama ww uliyeandika huu upuuzi ni mwanamme basi wazazi wako wamepata hasara kubwa sana
 
Kabla hujapost fatilia kwanza kuna watu kibao tu wanafollowers mamilion na hajamfollow mtu we unasema anavunja rekodi ya dunia.dunia IPI sasa labda
 
Mashabiki wa Kiba mmebaki kujisifia ujinga na upumbavu tu teh teh teh
 
Beyonce ana followers milion 55.1
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] yesu wangu hata jay-z hajamfollow?
 
Aisee, habari zilizonifikia hivi punde Mpwilo na K 4 Real wameshindwa ku log in kwenye JF mpya. Kaazi kweli kweli. Nawaomba mods wawarudishie ile JF ya zamani hawa watu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kabla ya mwaka kuisha atakuwa kafikisha followers 1M bila kumfollow mtu yeyote ..............................CONGRATS KING
Eti kabla ya Mwaka kuisha.......unadhani kufikisha Followers Million Ni kitu rahisi kwa kupost Tembo? Labda 2016 mwezi wa 12 ndo atafikisha 1M
 
Mimi ninawafollow watu 590 lakini Nina followers 7. But I don't see any problem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…