Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
King Kiba mjeuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesha maliza mkuuBeyonce ana followers milion 55.1
Kabla ya mwaka kuisha atakuwa kafikisha followers 1M bila kumfollow mtu yeyote ..............................CONGRATS KING
Angekua demu wangu nshampiga chini make hii dharau kabisaIna maana Beyonce hajam follow hata Jay Z ?
Ina maana Beyonce hajam follow hata Jay Z ?
Watafanya nini sasa mkuu wakati chipukizi wao habebeki😕😕Mashabiki wa Kiba mmebaki kujisifia ujinga na upumbavu tu teh teh teh
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] yesu wangu hata jay-z hajamfollow?Beyonce ana followers milion 55.1
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Aisee, habari zilizonifikia hivi punde Mpwilo na K 4 Real wameshindwa ku log in kwenye JF mpya. Kaazi kweli kweli. Nawaomba mods wawarudishie ile JF ya zamani hawa watu
Dunia ya temboKabla hujapost fatilia kwanza kuna watu kibao tu wanafollowers mamilion na hajamfollow mtu we unasema anavunja rekodi ya dunia.dunia IPI sasa labda
Eti kabla ya Mwaka kuisha.......unadhani kufikisha Followers Million Ni kitu rahisi kwa kupost Tembo? Labda 2016 mwezi wa 12 ndo atafikisha 1MKabla ya mwaka kuisha atakuwa kafikisha followers 1M bila kumfollow mtu yeyote ..............................CONGRATS KING
aisee jay ni genius, alifungua moja kwa shughuli maalumu after that akaifutilia mbaliJay z hayupo kwenye mitandao ya watoto ie Instagram