Wewemwenyewe
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 282
- 310
Kwani diamond, Sugu, au prof j akipiga show peke ake hawezi kujaza
Au lady jay dee na voice night alifanyaje
Jeshi la mtu mmoja wapo wengi
Natamani wasanii waisome comment yako, lkn tatizo lao ni waoga wa kuthubutu.Safi Kiba safi sana , Jux na Vannesa waliweza kwa nn ww Ushindwe?
Wasanii muda ndio huu amkeni amkeni next time tusikie
Kiba anakiwasha Mtwara,
Wasafi wanakiwasha Mwanza
Fid q Kigoma
Weusi Moro
nawengine wote muda wakuandaa show zenu mpige pesa umewadia
Tutolee ujinga hapa na unazi,wewe ulishaona wapi jeshi la mtu mmoja au aujui maaaana ya jeshi mkuu go and replay your writingHongera chief una management nzuri inayoona mbali. Kitendo chako cha kukataa kufungamana na upande wowote katika hali iliyoko sasa kati ya wasafi na CMG umeonesha ukomavu wa kiwango cha juu.
Hongera! Tuna kusupport.......
Kwa sababu halina faida kwakeAmbae anajua hamuwezi mwenzie ni yule anayetafuta suluhu kila siku...kashajua pambano kalipoteza
Kama halina faida kwake atulie uko aendelee na maisha yake...awaimbie mashabiki wake huko nyegeee....huku mashabiki wake mnachezaa michezo ya umber ruttyKwa sababu halina faida kwake