King kiba - The one man army

King kiba - The one man army

Kwani diamond, Sugu, au prof j akipiga show peke ake hawezi kujaza

Au lady jay dee na voice night alifanyaje

Jeshi la mtu mmoja wapo wengi
 
Safi Kiba safi sana , Jux na Vannesa waliweza kwa nn ww Ushindwe?

Wasanii muda ndio huu amkeni amkeni next time tusikie

Kiba anakiwasha Mtwara,

Wasafi wanakiwasha Mwanza

Fid q Kigoma

Weusi Moro

nawengine wote muda wakuandaa show zenu mpige pesa umewadia
 
Natamani wasanii waisome comment yako, lkn tatizo lao ni waoga wa kuthubutu.
 
Hongera chief una management nzuri inayoona mbali. Kitendo chako cha kukataa kufungamana na upande wowote katika hali iliyoko sasa kati ya wasafi na CMG umeonesha ukomavu wa kiwango cha juu.

Hongera! Tuna kusupport.......
Tutolee ujinga hapa na unazi,wewe ulishaona wapi jeshi la mtu mmoja au aujui maaaana ya jeshi mkuu go and replay your writing
 
Back
Top Bottom