King Kiba Tumia Akili, " Pop It In Na Yoooo" Ni Maneno Ya Kijinga Kwenye Nyimbo Zako.Badilika

Wakati WCB wakiwa na Beach party leo king kiba atakuwa kwa wagogo hapa dodoma perugina club . Maisha haya kweli kiba na diamond ni mbingu na dunia
 
Unaijua sound anayoitumia lord eyez akitaka kutambulisha uwepo wake?
Nilipenda sana kwenye show ya fiesta arusha king izy alivyotokea jukwaani by surprise with that sign.
 
hiyo yoooooo huwa inaharibu mtiririko wa muziki. harafu huwa inashtua.
 
Wakati WCB wakiwa na Beach party leo king kiba atakuwa kwa wagogo hapa dodoma perugina club . Maisha haya kweli kiba na diamond ni mbingu na dunia
Kumbe Kiba Yuko Dom, Hiyo Club Iko Maeneo Gani Mkuu ?
 
Sasa wewe unatakaje,,kwani lazima umsikilize
 
Mnapoteza nguvu zenu bure kumshauri mzee wa Mombasa na whashauriki na wala hajielewi
Kiba anabebwa na watu wanaomchukia Diamond lakini sio mziki wake
 
mkuu kolabo ya diamond na rick rozzz bila kusahau na ile ya rihanna mnaiachia lini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…