King Kiba Tumia Akili, " Pop It In Na Yoooo" Ni Maneno Ya Kijinga Kwenye Nyimbo Zako.Badilika

King Kiba Tumia Akili, " Pop It In Na Yoooo" Ni Maneno Ya Kijinga Kwenye Nyimbo Zako.Badilika

Ha ha haaaa,, sawa wajuvi enɗeleeni kujiuliza mƙipata majiɓu mseme.
 
Ni kweli angetafuta kitu kimoja kinachoweza kumbrand vizuri ambacho atakitumia kote kwenye bidhaa zake na upande wa nyimbo!Nafikiri ingekuwa na tija zaidi
 
Ni kweli angetafuta kitu kimoja kinachoweza kumbrand vizuri ambacho atakitumia kote kwenye bidhaa zake na upande wa nyimbo!Nafikiri ingekuwa na tija zaidi
Ahsante Kwa Kuelewa Mkuu
 
Uo n wivu kila mtu anastyle yake ya kumtambulsha kama wasaf.... His styl is unique.. poor you na mawazo yako mgando
 
Habari Wadau Wa Jukwaa Hili,

- Leo Nimeona Niongelee Kuhusu Huyu Msanii Anayejichukulia Ni Msanii Mkubwa Sana Lakini Hawajielewi Hususani Kwenye Mambo Ya Msingi Zaidi Ya Kutanguliza Umwinyi

- Tangu Ameanza Kuimba Tumekuwa Tukisikia Anatamka Maneno ........" Pop It In The Tanzanian Boy....." Sasa Wajuvi Tunajiuliza Hii Papleeee Inatoka Wapi Na Kwanini Anataja Taja Mambo Ya Ujinga Bila Malengo Yoyote

- Anazidiwa Hata Na Wakongo Wanaotaja Majina Ili Wapate Pesa Kutoka Kwao, Sasa Wewe Alikiba Unashindwa Kutaja Brand Za Maana Kwenye Kazi Zako , Unabaki Kutapa Tapa Tu Na Akili Ndogo

- Una Lebo Kama Unavyosema Inaitwa King's Music, Mara Una Kundi Ambalo Uko Wewe Na Mdogo Wako Abdu Kiba Mnaloliita Kiba Square, Kutaja Vyote Hivyo Kwako Unaona Haifai Siku Hizi Umebadilika Unataja Yoooooooo - Au Yeah Kama Mwenyewe Unavyosema. Sasa Nini Hiki

- Alikiba Acha Akili Ndogo Badilika, Iga Mambo Mazuri Hata Kwa Maadui Zako Siyo Unajifanya Hutaki Kuiga Then Unabaki Na Akili Ndogo Yako Maana Najua Huwezi Kuishi Na Watu.Ahsant
somo..
 
Leo Alikiba Anauza Kofia Zinaitwa KingKiba

- Pop It In ( Papleee ) Ni Nini ?

- Kiba Spuare Ni Kitu Gani ?

- King's Music Ni Kitu Gani,

- Na Yoooo Ni Nini ?

Huu Ni Mpuyango Og Kwa King Kiba.
Hujielewi wewe...t shirt za pop it in huzioni mtaani?
 
Kwa Rick Ross Huwa Tunasikia Maybach Music, Huwezi Kukuta Msanii Wa Majuu Anataja Maneno Yasioingiza Pesa
Mkuu naona unalazimisha ulichosema tukiamini.Rick Ross kuna mguno fulan uwa anaweka kwenye nyimbo zake unaingiza tsh ngapi?
 
Ninachojaribu Kushauri Hapa Ni Angalau Alikiba Atafute Utambulisho Mmoja Rasmi, Tumjue Kwa Hilo - Mfano Kwa Sasa Kashaachana Na Pop It In, Anatumia Tena Yoooo

- Sasa Nini Hii ?
Dunia aija simama mkuu ndio maana ata radios wanabadirisha jingo
 
Ni Kweli Bila Kusikia Yooo Huwezi Kujua Kama Ni Kiba Kwasababu Ndio Alioutengeneza Tena Usio Na Faida Yoyote

- Anazidiwa Hata Na Ommary Nyembo Ambaye Kaibrand PKP Na Uwezo Kuifanyia Chochote

- Sasa Kiba Anataja Majina Ambayo Hayawezi Kuwa Pesa
Ila mkuu mi naomba tumalize tu utata ukweli ni kwamba una roho mbaya na king kiba kuna sehemu umesema wewe ni fan wa kiba hapana mkuu naomba uache unafiki tusiingize siasa kwenye muziki[emoji120]
 
Back
Top Bottom