john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
Halafu nenda mihogo beach party acha kujipendekeza kwa king kibaaaa yooooooohhh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WCB Wasafi Kama Kampuni Rasmi Kisheria Ina,Na yule aneimba WCB nae aache ni ujingaaa!
Sasa mnataka kila kitu aige kwenu? Learn to appreciate even little things, kama hupendi hujalazimishwa kuwa shabiki wake! Sisi tunapenda anavoimba yooooooo! So mpotezeeni nendeni mihogo beach party!WCB Wasafi Kama Kampuni Rasmi Kisheria Ina,
- Wasafi Records
- Wasafi Record Label
- Wasafi Clothings Line
- Wasafi Kama Signature Kwenye Nyimbo Zao
- Juzi Tumesikia Sallam Anasema Wanataka Kujenga Jengo La Ghorofa 7 Kama WCB Wasafi Block
- Unaiona Tofauti Iliyopo Hapo.
Ninachojaribu Kushauri Hapa Ni Angalau Alikiba Atafute Utambulisho Mmoja Rasmi, Tumjue Kwa Hilo - Mfano Kwa Sasa Kashaachana Na Pop It In, Anatumia Tena YooooTumkosoe vizuri kijana wetu..kusema yoo siyo dhambi. Allykiba ni msanii mzuri kwa Tanzania. Kwangu mm yupo kumi bora.. Hajamfikia diamond ila kajitahid kujifananisha na Diamond angalau apate kuongelewa. Tumshauri kijana wetu vizuri
Kiba nayo ina KWaaay, si kwa Povu hili. By the way nasikia ticket zimedoda sasa mnatafuta scapegoat
Me hata sijakuelewa.Habari Wadau Wa Jukwaa Hili,
- Leo Nimeona Niongelee Kuhusu Huyu Msanii Anayejichukulia Ni Msanii Mkubwa Sana Lakini Hawajielewi Hususani Kwenye Mambo Ya Msingi Zaidi Ya Kutanguliza Umwinyi
- Tangu Ameanza Kuimba Tumekuwa Tukisikia Anatamka Maneno ........" Pop It In The Tanzanian Boy....." Sasa Wajuvi Tunajiuliza Hii Papleeee Inatoka Wapi Na Kwanini Anataja Taja Mambo Ya Ujinga Bila Malengo Yoyote
- Anazidiwa Hata Na Wakongo Wanaotaja Majina Ili Wapate Pesa Kutoka Kwao, Sasa Wewe Alikiba Unashindwa Kutaja Brand Za Maana Kwenye Kazi Zako , Unabaki Kutapa Tapa Tu Na Akili Ndogo
- Una Lebo Kama Unavyosema Inaitwa King's Music, Mara Una Kundi Ambalo Uko Wewe Na Mdogo Wako Abdu Kiba Mnaloliita Kiba Square, Kutaja Vyote Hivyo Kwako Unaona Haifai Siku Hizi Umebadilika Unataja Yoooooooo - Au Yeah Kama Mwenyewe Unavyosema. Sasa Nini Hiki
- Alikiba Acha Akili Ndogo Badilika, Iga Mambo Mazuri Hata Kwa Maadui Zako Siyo Unajifanya Hutaki Kuiga Then Unabaki Na Akili Ndogo Yako Maana Najua Huwezi Kuishi Na Watu.Ahsant
Anyway Mfano Mwingine Kama Huo Hujaupenda - PKP Ya Omary Nyembo,Sasa mnataka kila kitu aige kwenu? Learn to appreciate even little things, kama hupendi hujalazimishwa kuwa shabiki wake! Sisi tunapenda anavoimba yooooooo! So mpotezeeni nendeni mihogo beach party!
Acha Maneno weka MUZIKIIIHabari Wadau Wa Jukwaa Hili,
- Leo Nimeona Niongelee Kuhusu Huyu Msanii Anayejichukulia Ni Msanii Mkubwa Sana Lakini Hawajielewi Hususani Kwenye Mambo Ya Msingi Zaidi Ya Kutanguliza Umwinyi
- Tangu Ameanza Kuimba Tumekuwa Tukisikia Anatamka Maneno ........" Pop It In The Tanzanian Boy....." Sasa Wajuvi Tunajiuliza Hii Papleeee Inatoka Wapi Na Kwanini Anataja Taja Mambo Ya Ujinga Bila Malengo Yoyote
- Anazidiwa Hata Na Wakongo Wanaotaja Majina Ili Wapate Pesa Kutoka Kwao, Sasa Wewe Alikiba Unashindwa Kutaja Brand Za Maana Kwenye Kazi Zako , Unabaki Kutapa Tapa Tu Na Akili Ndogo
- Una Lebo Kama Unavyosema Inaitwa King's Music, Mara Una Kundi Ambalo Uko Wewe Na Mdogo Wako Abdu Kiba Mnaloliita Kiba Square, Kutaja Vyote Hivyo Kwako Unaona Haifai Siku Hizi Umebadilika Unataja Yoooooooo - Au Yeah Kama Mwenyewe Unavyosema. Sasa Nini Hiki
- Alikiba Acha Akili Ndogo Badilika, Iga Mambo Mazuri Hata Kwa Maadui Zako Siyo Unajifanya Hutaki Kuiga Then Unabaki Na Akili Ndogo Yako Maana Najua Huwezi Kuishi Na Watu.Ahsant
Leo Alikiba Anauza Kofia Zinaitwa KingKiba
- Pop It In ( Papleee ) Ni Nini ?
- Kiba Spuare Ni Kitu Gani ?
- King's Music Ni Kitu Gani,
- Na Yoooo Ni Nini ?
Huu Ni Mpuyango Og Kwa King Kiba.
Nendeni mkaweke hiyo promo kiba hajawahi kuwaomba mmpigie promo, nyie watu wa domo mnashidaaaaaHebu tuwekezeni kwa Jux,Ben po,bel 9 na darasa wawe km Diamond. Ally tuna promo sana lakini siyo msanii mkali
Bila kufanyiwa promotion ndo maana ataishia kupiga shoo KenyaNendeni mkaweke hiyo promo kiba hajawahi kuwaomba mmpigie promo, nyie watu wa domo mnashidaaaaa
Sawasawa na mwanaume kujiita BABYYoooo[emoji350]
[emoji350] Pop it In
Bila kuweka hivyo vionjo King k sitomuelewa kabisaaa
Xmass imekuja vibaya sana hii no money no mood yoooooh!Habari Wadau Wa Jukwaa Hili,