Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ingia you tube andika lord eyez fiesta arusha utamuona.Hapana siijui. 4 years sasa sijamsikia mshkaji.
Hivi kijuso ndiyo nini?Kijuso ndo inaeleweka siyo
Je na lile neno wasafiii jeHabari Wadau Wa Jukwaa Hili,
- Leo Nimeona Niongelee Kuhusu Huyu Msanii Anayejichukulia Ni Msanii Mkubwa Sana Lakini Hawajielewi Hususani Kwenye Mambo Ya Msingi Zaidi Ya Kutanguliza Umwinyi
- Tangu Ameanza Kuimba Tumekuwa Tukisikia Anatamka Maneno ........" Pop It In The Tanzanian Boy....." Sasa Wajuvi Tunajiuliza Hii Papleeee Inatoka Wapi Na Kwanini Anataja Taja Mambo Ya Ujinga Bila Malengo Yoyote
- Anazidiwa Hata Na Wakongo Wanaotaja Majina Ili Wapate Pesa Kutoka Kwao, Sasa Wewe Alikiba Unashindwa Kutaja Brand Za Maana Kwenye Kazi Zako , Unabaki Kutapa Tapa Tu Na Akili Ndogo
- Una Lebo Kama Unavyosema Inaitwa King's Music, Mara Una Kundi Ambalo Uko Wewe Na Mdogo Wako Abdu Kiba Mnaloliita Kiba Square, Kutaja Vyote Hivyo Kwako Unaona Haifai Siku Hizi Umebadilika Unataja Yoooooooo - Au Yeah Kama Mwenyewe Unavyosema. Sasa Nini Hiki
- Alikiba Acha Akili Ndogo Badilika, Iga Mambo Mazuri Hata Kwa Maadui Zako Siyo Unajifanya Hutaki Kuiga Then Unabaki Na Akili Ndogo Yako Maana Najua Huwezi Kuishi Na Watu.Ahsant
umekalili maneno ya interview..huna mchango wowoteHata mimi huwa simuelewi kiba! Anayo sauti nzuri ya kuimba ila bahati mbaya kuimba siyo sauti la sivyo lebo kubwa wangemsaini sepenga
utakuwa umetumwa na upande wa pili...sioni sababu ya kulazimisha matangazo ya brand wakati wa kuimbaHabari Wadau Wa Jukwaa Hili,
- Leo Nimeona Niongelee Kuhusu Huyu Msanii Anayejichukulia Ni Msanii Mkubwa Sana Lakini Hawajielewi Hususani Kwenye Mambo Ya Msingi Zaidi Ya Kutanguliza Umwinyi
- Tangu Ameanza Kuimba Tumekuwa Tukisikia Anatamka Maneno ........" Pop It In The Tanzanian Boy....." Sasa Wajuvi Tunajiuliza Hii Papleeee Inatoka Wapi Na Kwanini Anataja Taja Mambo Ya Ujinga Bila Malengo Yoyote
- Anazidiwa Hata Na Wakongo Wanaotaja Majina Ili Wapate Pesa Kutoka Kwao, Sasa Wewe Alikiba Unashindwa Kutaja Brand Za Maana Kwenye Kazi Zako , Unabaki Kutapa Tapa Tu Na Akili Ndogo
- Una Lebo Kama Unavyosema Inaitwa King's Music, Mara Una Kundi Ambalo Uko Wewe Na Mdogo Wako Abdu Kiba Mnaloliita Kiba Square, Kutaja Vyote Hivyo Kwako Unaona Haifai Siku Hizi Umebadilika Unataja Yoooooooo - Au Yeah Kama Mwenyewe Unavyosema. Sasa Nini Hiki
- Alikiba Acha Akili Ndogo Badilika, Iga Mambo Mazuri Hata Kwa Maadui Zako Siyo Unajifanya Hutaki Kuiga Then Unabaki Na Akili Ndogo Yako Maana Najua Huwezi Kuishi Na Watu.Ahsant
Jamaa Hajielewi Anatoka Wapi Na Anaenda Wapi .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usipanic vitu vidogo hiviWanaume Wadaku Kama Wewe
Rickross utamskia NHAAA...povu La sabuni ya majiUshawahi Kusikia Rick Ross Anatamka Pop It In, Tena Alikiba Anatamka Papleeeee,
- Ngoma Za Rick Ross Utasikia Mayback Music
Lebo kubwa ipo?...kubwa zaidi ya SONY??Hata mimi huwa simuelewi kiba! Anayo sauti nzuri ya kuimba ila bahati mbaya kuimba siyo sauti la sivyo lebo kubwa wangemsaini sepenga