King Kiba Tumia Akili, " Pop It In Na Yoooo" Ni Maneno Ya Kijinga Kwenye Nyimbo Zako.Badilika

Habari Wadau Wa Jukwaa Hili,

- Leo Nimeona Niongelee Kuhusu Huyu Msanii Anayejichukulia Ni Msanii Mkubwa Sana Lakini Hawajielewi Hususani Kwenye Mambo Ya Msingi Zaidi Ya Kutanguliza Umwinyi

- Tangu Ameanza Kuimba Tumekuwa Tukisikia Anatamka Maneno ........" Pop It In The Tanzanian Boy....." Sasa Wajuvi Tunajiuliza Hii Papleeee Inatoka Wapi Na Kwanini Anataja Taja Mambo Ya Ujinga Bila Malengo Yoyote

- Anazidiwa Hata Na Wakongo Wanaotaja Majina Ili Wapate Pesa Kutoka Kwao, Sasa Wewe Alikiba Unashindwa Kutaja Brand Za Maana Kwenye Kazi Zako , Unabaki Kutapa Tapa Tu Na Akili Ndogo

- Una Lebo Kama Unavyosema Inaitwa King's Music, Mara Una Kundi Ambalo Uko Wewe Na Mdogo Wako Abdu Kiba Mnaloliita Kiba Square, Kutaja Vyote Hivyo Kwako Unaona Haifai Siku Hizi Umebadilika Unataja Yoooooooo - Au Yeah Kama Mwenyewe Unavyosema. Sasa Nini Hiki

- Alikiba Acha Akili Ndogo Badilika, Iga Mambo Mazuri Hata Kwa Maadui Zako Siyo Unajifanya Hutaki Kuiga Then Unabaki Na Akili Ndogo Yako Maana Najua Huwezi Kuishi Na Watu.Ahsant
Je na lile neno wasafiii je
 
Hata mimi huwa simuelewi kiba! Anayo sauti nzuri ya kuimba ila bahati mbaya kuimba siyo sauti la sivyo lebo kubwa wangemsaini sepenga
umekalili maneno ya interview..huna mchango wowote
 
Habari Wadau Wa Jukwaa Hili,

- Leo Nimeona Niongelee Kuhusu Huyu Msanii Anayejichukulia Ni Msanii Mkubwa Sana Lakini Hawajielewi Hususani Kwenye Mambo Ya Msingi Zaidi Ya Kutanguliza Umwinyi

- Tangu Ameanza Kuimba Tumekuwa Tukisikia Anatamka Maneno ........" Pop It In The Tanzanian Boy....." Sasa Wajuvi Tunajiuliza Hii Papleeee Inatoka Wapi Na Kwanini Anataja Taja Mambo Ya Ujinga Bila Malengo Yoyote

- Anazidiwa Hata Na Wakongo Wanaotaja Majina Ili Wapate Pesa Kutoka Kwao, Sasa Wewe Alikiba Unashindwa Kutaja Brand Za Maana Kwenye Kazi Zako , Unabaki Kutapa Tapa Tu Na Akili Ndogo

- Una Lebo Kama Unavyosema Inaitwa King's Music, Mara Una Kundi Ambalo Uko Wewe Na Mdogo Wako Abdu Kiba Mnaloliita Kiba Square, Kutaja Vyote Hivyo Kwako Unaona Haifai Siku Hizi Umebadilika Unataja Yoooooooo - Au Yeah Kama Mwenyewe Unavyosema. Sasa Nini Hiki

- Alikiba Acha Akili Ndogo Badilika, Iga Mambo Mazuri Hata Kwa Maadui Zako Siyo Unajifanya Hutaki Kuiga Then Unabaki Na Akili Ndogo Yako Maana Najua Huwezi Kuishi Na Watu.Ahsant
utakuwa umetumwa na upande wa pili...sioni sababu ya kulazimisha matangazo ya brand wakati wa kuimba
.nyimbo kama ni nzuri ndo zitakazotangaza brand
 
Stress mbaya sana.Hivi wewe na ushauri wako una wimbo hata wa kufanyia show chooni?Tatizo unajifanya mshauri Kwa Kitu ambacho huwezi kukifanya.
 
Jamaa Hajielewi Anatoka Wapi Na Anaenda Wapi .

Mm sina shida na hiyo paplee ila ile nyingine yooh ndo inakera,akisema hivyo tu na nyimbo inaisha utamu.

Hata hivyo mapenzi yanarun dunia was a hit,my all time favorite bongo flava song,nataka nimsikie kiba yule na sio huyu wa sasa anayebadilika kufuata soko mpk naona amepoteza uhalisia wake na hii imeletwa na watu wanaolazimisha kumfananisha na upinzani,kwa hiyo na yeye anataka nyimbo za kucheza kitu ambacho nadhani kinamfelisha,kiba ni wa mac muga bana na sio wa aje.

Anyway,what do i know,am just a farmer,ngoja nikaokote mayai.
 
Yani nikisikiaga paperee najua king huyo anaimba natulia kabisa kumsikiliza
 
Mi naipenda hiyo eyooooooooooo,,,yaan asipoitaja sijisikii vyemaa,,ksma anakukera tunga nawe vyako uone
 
Back
Top Bottom