King Kiba Tumia Akili, " Pop It In Na Yoooo" Ni Maneno Ya Kijinga Kwenye Nyimbo Zako.Badilika

King Kiba Tumia Akili, " Pop It In Na Yoooo" Ni Maneno Ya Kijinga Kwenye Nyimbo Zako.Badilika

Sitaki niamin kuwa uwezo wako wa kufikili umeishia hapo , fanya yanayo kuhusu sis mashabiki wake tunaipenda no tunaielew ata hao unaowakubali nao wana ID yao sawa. Unapoteza muda mwingi kuandika pumba
 
Wasafi ni waongo kuanzia msanii wao mpaka ma manager na wana roho mbaya
 
Tumewachoka wengine humu jf kupost newz za usenge usenge nyie ndo mnaosababisha akina melo wanakamatwa...hamna vya kuandika!!!??
 
Hivi Tanzania kuna wasanii wawili tuu..why alwayz Ali kiba anaongelewa yeye tuu..kama hawezi mziki, kama mziki wake haulipi, why Mara zote anaongelewa ? Hivi ni kweli kati wa wasanii wote ukimtoa Diamond Ali kiba ndio kafeli kuliko wote, mimi naamini kuna wasanii wengi tuu wanatamani angalau hata wafikie level yake ...kwanini tusiwaongelee hao na kujadili mapungufu yao ila kila siku tunazungumza mapungufu ya huyu mmoja ambaye mimi kwa upande wangu naona yuko level fulani ambayo wasani wengine wengi tuu ukimtoa Diamond, wanatamani wafike...ni kweli kazidiwa na Diamond ila na yeye ana nafasi yake nzuri tuu katika mziki wa Tanzania, sio lazima wawe sawa...Ali kiba ana Strength na Weakness zake ila naona kama tunamuonea sana tunajadili sana weakness..tunazitafuta sana weakness zake...hata za kulazimisha ili tu ajadiliwe negatively
 
So they want I to change my identity
Musically, musically, musically
So they want I to change my identity
Musically, musically, musically
This ya music race
Commercial race
Political race
This ya music race
Commercial race
Political race

Burning Spear - "
 
Hivi Tanzania kuna wasanii wawili tuu..why alwayz Ali kiba anaongelewa yeye tuu..kama hawezi mziki, kama mziki wake haulipi, why Mara zote anaongelewa ? Hivi ni kweli kati wa wasanii wote ukimtoa Diamond Ali kiba ndio kafeli kuliko wote, mimi naamini kuna wasanii wengi tuu wanatamani angalau hata wafikie level yake ...kwanini tusiwaongelee hao na kujadili mapungufu yao ila kila siku tunazungumza mapungufu ya huyu mmoja ambaye mimi kwa upande wangu naona yuko level fulani ambayo wasani wengine wengi tuu ukimtoa Diamond, wanatamani wafike...ni kweli kazidiwa na Diamond ila na yeye ana nafasi yake nzuri tuu katika mziki wa Tanzania, sio lazima wawe sawa...Ali kiba ana Strength na Weakness zake ila naona kama tunamuonea sana tunajadili sana weakness..tunazitafuta sana weakness zake...hata za kulazimisha ili tu ajadiliwe negatively
Ndugu sisi tunahitaji kuwa makoloni ya wazungu upyaaaaaaa...tena kwa kishindo.
 
Habari Wadau Wa Jukwaa Hili,

- Leo Nimeona Niongelee Kuhusu Huyu Msanii Anayejichukulia Ni Msanii Mkubwa Sana Lakini Hawajielewi Hususani Kwenye Mambo Ya Msingi Zaidi Ya Kutanguliza Umwinyi

- Tangu Ameanza Kuimba Tumekuwa Tukisikia Anatamka Maneno ........" Pop It In The Tanzanian Boy....." Sasa Wajuvi Tunajiuliza Hii Papleeee Inatoka Wapi Na Kwanini Anataja Taja Mambo Ya Ujinga Bila Malengo Yoyote

- Anazidiwa Hata Na Wakongo Wanaotaja Majina Ili Wapate Pesa Kutoka Kwao, Sasa Wewe Alikiba Unashindwa Kutaja Brand Za Maana Kwenye Kazi Zako , Unabaki Kutapa Tapa Tu Na Akili Ndogo

- Una Lebo Kama Unavyosema Inaitwa King's Music, Mara Una Kundi Ambalo Uko Wewe Na Mdogo Wako Abdu Kiba Mnaloliita Kiba Square, Kutaja Vyote Hivyo Kwako Unaona Haifai Siku Hizi Umebadilika Unataja Yoooooooo - Au Yeah Kama Mwenyewe Unavyosema. Sasa Nini Hiki

- Alikiba Acha Akili Ndogo Badilika, Iga Mambo Mazuri Hata Kwa Maadui Zako Siyo Unajifanya Hutaki Kuiga Then Unabaki Na Akili Ndogo Yako Maana Najua Huwezi Kuishi Na Watu.Ahsant

Mkuu unatoa ushauri? unaponda au??

namchukulia Ali Kiba kama mjinga mmoja hivi asiyejua muziki kama usemavyo

katika ujinga wake alitoa nakshi mrembo, sinderela na mak muga ambazo hata leo hii ni hit songs

katika ujinga wake akamsaidia Dimond kurekodi wimbo wa kwanza wa Diamond katika studia yake

Nilitegemea wewe na akili zako kubwa ungekuja kwa kutoa ushauri mzuri wa upendo na busara ukiweka hoja na sio povu hili ulilolitoa

yooo ni signature hata raymond katika 'nitokeje' ili ajulikane namzungumzia Kiba alisema 'yoooo'

Pole
 
ni s
Ile ni kibwagizo chake mkuu, leo ukisikia tu popote unajua ni Kiba.

Kuna vitu vinaitwa brand, identity, trademark, signs, symbols n.k dhumuni ni kujitofautisha na wengine kuleta utambulisho binafsi.

Leo McDonals dunia nzima ukiona ile M tu ushajua ni kitu gani.

Unajua Birdman wa CMB yeye hutoa sauti ya ndege ktk nyimbo zake na mmarekani wenyekujua biashara ya muziki
kabisa, Ni signature

huyu mkuu ana lake
 
Wewe ni mtu wa majungu tu huna jipya ndugu just mind ubout your self , we mambo ya king kiba yanakuhusu nini kama sio ushakunaku tu .
 
Back
Top Bottom