kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,340 Reaction score 12,055 Nov 14, 2012 #1 Jamani nauliza eti hawa watu ni baba na mwana? maana nimezisikia hizi habari mtaani, naomba mwenye ukweli anijuze, lengo ni kufahamu tu maana hawa ni mastaa wetu wa bongo.
Jamani nauliza eti hawa watu ni baba na mwana? maana nimezisikia hizi habari mtaani, naomba mwenye ukweli anijuze, lengo ni kufahamu tu maana hawa ni mastaa wetu wa bongo.
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,733 Nov 14, 2012 #2 kivyako Si Baba na mwana hawa ila wote wamekutana kwenye kazi tu, sharobaro ni mtoto wa mwanamuziki King Kiki mzee wa kitambaa cheupe kama sijakosea. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kivyako Si Baba na mwana hawa ila wote wamekutana kwenye kazi tu, sharobaro ni mtoto wa mwanamuziki King Kiki mzee wa kitambaa cheupe kama sijakosea.
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,340 Reaction score 12,055 Nov 14, 2012 Thread starter #3 manuu said: kivyako Si Baba na mwana hawa ila wote wamekutana kwenye kazi tu, sharobaro ni mtoto wa mwanamuziki King Kiki mzee wa kitambaa cheupe kama sijakosea. Click to expand... Asante sana mkuu manuu kwa ufahamisho. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
manuu said: kivyako Si Baba na mwana hawa ila wote wamekutana kwenye kazi tu, sharobaro ni mtoto wa mwanamuziki King Kiki mzee wa kitambaa cheupe kama sijakosea. Click to expand... Asante sana mkuu manuu kwa ufahamisho.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,563 Reaction score 48,223 Jan 28, 2019 #4 Hatuko nao tena. Maisha haya