Jamani nauliza eti hawa watu ni baba na mwana? maana nimezisikia hizi habari mtaani, naomba mwenye ukweli anijuze, lengo ni kufahamu tu maana hawa ni mastaa wetu wa bongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.