King Messi wedding

King Messi wedding

Congrats MFALME,,,Mungu akubariki,,,na uendelee ku2patia raha ambayo haijawahi kutokea kwa mchezaji yoyote duniani.

Mpira unakupenda babaa,,,
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Lakn hata mm pia nirikuwepo picha iyo
bef908516436e51b55262483f58e8ffb.jpg
Mkuu namkubali sana Sergio Busquets [emoji123] [emoji109]
 
mwenye pcha zaidi sijamwona antonelo roccuza
 
Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe,,,

Nani kama KING MESSI HAKUNA,,,,

Nani kama KING DIEGO HAKUNA,,,

Alfredo de stefano,pele,zinedine Zizo, redondo, requelme na cr7,,,wote hawa nawaheshimu. Ila wataendelea kusubili sanaaaa kwa hawa wafalme kuwahi kutokea katika ulimwengu huu wa soka. Nimemaliza,,,,crudi tena
 
Mogela lunyamila mohamed hussein amkuoma harusizaoo
Nahisi ww humu ndyo mtu unaongoza kwa kuwa na afya ya akili dhaifu hao watu uliowataja kweli ni wa kuwataja mbele ya king ?
 
Back
Top Bottom