Marlex Jr El
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 1,819
- 2,415
PovuKing bila ya medali ya world cup..
Mkuu namkubali sana Sergio Busquets [emoji123] [emoji109]Lakn hata mm pia nirikuwepo picha iyo
majunguKwisha habari yake...... sasa hivi tutaona kama atapiga vile vichenga vyake.
una uhakika hana medaliKing bila ya medali ya world cup..
anapandikiziwa[emoji23] [emoji23]Cr7 anazidi kuongeza watoto wa mtaani
Nilikua najiuliza...mpaka hapa CR7 hajatajwa???Cr7 anazidi kuongeza watoto wa mtaani
Mogela lunyamila mohamed hussein amkuoma harusizaoo
Jana iyo mchezaji bora wa mpira kuwahi kutokea duniani wakati anachukua jiko jijini Rossario