KING mwenyewe kaongea sasa,mzizi wa fitna kwisha

KING mwenyewe kaongea sasa,mzizi wa fitna kwisha

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
wengiene hawataki kuamini kwamba hakuna social media hapa bongo bila this young man aitwaye william aka Billy aka sauti ya umeme,sukari ya warembo,le baharaia himself.katupia vi icons vyote vya social media kudhihirisha kwamba he runs Tz kwenye mambo ya mitandao.
FYI: hiyo picha jamaa aliyechora kalipwa mkwanja mrefu wa sh 400,000 na le field marshall a.k.a mjumbe wa jumuiya ya wazazi ya CCM ingawa yuko kwenye late 30's alipoulizwa juu ya kulipa mkwanja mrefu namna hiyo kwa hiyo picha alijibu"ma men,namilik
Screen Shot 2016-09-28 at 6.42.02 AM.png
swahili tv,nina blog,Iam a media mogul,nyie nifatilieni maisha yangu ila mimi na make money and Iam humbled,you know tena kwa taarifa yenu nyumba ya kinyerezi nauza najenga bonge la nyumba huko boko"
 
Yupo kwenye late 30s?? Kweli? Siyo late 50s?? Au unazungumzia Yupi? Siyo yule aliyejigamba kuwa amepiga kazi USA kwa miaka 30 na akafanikiwa kurudi bongo na Usd1000 pamoja na ipad tu?
 
" le field marshall a.k.a mjumbe wa jumuiya ya wazazi ya CCM ingawa yuko kwenye late 30's"
late 50's
 
Jamiiiforum haipo kweny huo mpicha wake

Huku nahisi wana run watu wengine
 
Jamaa fulani hivi,huwa hasumbuki na maisha ya watu,ila watu ndio wanasumbuka na maisha yake.
 
hahahaha uknw jamaa ni lekivutiooz
 
Keep going Lemutuz
Wazo la kujenga nyumba kubwa ya kisasa ni zuri sana, wewe ni kioo cha jamii vijana wengi wataiga mazuri kutoka kwako
 
Kamlipa mkwanja huo kwa kuwa jamaa kamchora kutokana na matendo yake, bado kijana mdogo hand some boy, kijana wa ku date na Tunda, haahaa, haya ndio Le mbebez anaya frame kichwani mwake, sidhani kama jamaa anauthubutu wa kujiangalia kwenye kioo asubuhi anaweza mtukana mama ake kwa kumzaa zamani., hataki uzee.
 
Back
Top Bottom